Suala la Feitoo linafanana na la Harry Kane alivyotaka kwenda Man City

Coutinho, Liverpool, Barcelona.

Tafuta hii scenario
Hivi mbona mnakua kama hamna akili?

Mbona ni issue tofauti kabisa hapo Barcelona walipeleka offer kumtaka countnho ila liver wakagoma. Kinachofanyika mchezaji anafanya shinikizo la kuondoka mpaka club yake ikubali na ndicho kinachofanyika.

Sasa nikuulize kuna club iliyopeleka offer yanga kumtaka fei? Hakuna.
Team inayomtaka fei ipeleke offer kama yanga ikikataa kumuuza basi fei anaweka shinikizo la Kuondoka akiwa klabuni
 
Hizo ni kesi mbili tofauti.
Kane alitaka kuuzwa kwenda Man City halafu Totenham ikakataa, Feitoto yeye binafsi anataka kuachana na Yanga na Yanga ikakataa!

Mleta mada unatakiwa kujua haya, na yote yanafanyika iwe kwenye suala la Kane au Feitoto.

1. Mkataba wowote kisheria unaweza kuvunjika au kuvunjwa, muda wowote.

2. Mikataba yote halali kisheria ina kipengele cha namna ya kuvunjwa au kuvunjika.

3. Mchezaji anapoamua kuvunja mkataba dhidi ya klabu yake nje ya vipengele vilivyopo kimkataba, atapaswa kulipa fidia kisheria kuufidia huo mkataba.


Note
Kucheza soka kwenye klabu fulani(kufanya kazi/kuajiriwa) ni jambo la hiari, kuingia mkataba ni jambo la hiari, hiari hiyo inalindwa kisheria. Mtu anapoamua kwa hiari yake kuachana na klabu hiyo (kuacha kazi) sheria inamlinda huku ikimtaka kulipa gharama za kumfidia mwajiri wake kimkataba. Vivyo hivyo kwa Mwajiri (klabu) inayo hiari ya kuachana na mchezaji wake, na itapaswa kumlipa mchezaji kumfidia gharama za kimkataba ikiwa klabu itataka kuachana naye.
 
Vipi kama (kitu ambacho ndio halisi) Feitoto yeye mwenyewe binafsi anataka kuondoka zake Yanga?
 
Issue hizo Hazifanani Kbs....!

Shida ni Mkataba, Mkataba Wa Yanga Unatoa nafasi Ya Kuvunjika.

Sasa umevunjika. Utopolo wanapitia mlango Wa Uani Mchongo Na TFF.
kama umevunjika, jana kafuata nini TFF?
 
Hawa mbumbu hata utumie nguvu gani kuwalewesha hawawezi kuelewa ni vema tu kuachana nao, watu wanashindwa kuelewa Yanga ndiyo imempa Fei thamani aliyonayo hivi sasa kwa kuinvest vitu kibao kwake, mwisho wa siku lazima Yanga na uwekezaji huo aidha kwa kuuzwa kwa bei wanayoona ipo kwa soko au kuitumikia club mpira ni biashara bana.
 
Kwani kavunja mkataba au kajiondoa kienyeji kwenye klabu? Maana ilitakiwa adai haki yake akiwa ndani ya mkataba. Sasa yeye kaondoka aafu ndo anadai haki ya kuvunja mkataba unaona hiyo kisheria ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…