Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Hivi mbona mnakua kama hamna akili?Coutinho, Liverpool, Barcelona.
Tafuta hii scenario
Mbona ni issue tofauti kabisa hapo Barcelona walipeleka offer kumtaka countnho ila liver wakagoma. Kinachofanyika mchezaji anafanya shinikizo la kuondoka mpaka club yake ikubali na ndicho kinachofanyika.
Sasa nikuulize kuna club iliyopeleka offer yanga kumtaka fei? Hakuna.
Team inayomtaka fei ipeleke offer kama yanga ikikataa kumuuza basi fei anaweka shinikizo la Kuondoka akiwa klabuni