Suala la Ihefu: Mtu mkubwa Serikalini amewekwa mfukoni?

Samia huwa anapambana na mambo makubwa sana bila hata kufokea au kukaripia mtu. Ni mwanadiplomasia wa viwango vya juu.
Mambo makubwa ya Sukari na prf Mkenda SSH eti alisemaje. Suala la sukari ni kubwa au dogo?
Suala la mikopo ni kubwa au dogo? Alipolizungumzia ndugai nini ilikuwa reaction ya SSH? Hili nalo ni suala kubwa au dogo?
Suala la kula kwa urefu wa kamba ni kubwa au dogo? Jiji msimamo wa SSH kuhusu kula kwa urefu wa kamba.
Suala la KU-bar watu ambao hawaungi mkoni namna anavyoendesha serikali ni kubwa ua dogo?
 
Suala eneo la Ihefu, chanzo cha mto mkuu wa Ruaha, limekuwa likilalamikiwa kwa miaka sasa.

Najua serikali imekuwa ikilishughulikia hili tatizo la kuingiliwa Ihefu kwa nyakati tofauti, lakini ni kama imekuwa funika kombe wanaharamu wapite.

Nashindwa kuelewa, inakuwaje mtu, watu wanachepusha mto mzimaa!!!
Na serikali hiyohiyo ipo.

Wafugaji wenye makundi ya ng'ombe 3,000 hadi 10,000 wameshidwa kudhibitiwa kwa miaka!

Kweli?

Serikali na vyombo vyake vyote imeshindwa kulitatua suala la Ihefu.

Sasa tunashituka Kidatu maji hakuna, Bwawa la Nyerere linatishia kuwa a white eleohant!
Hivi kuna uhujumu uchumi zaidi ya huu?

Cha kuchekesha kama si kufadhaisha, hivi inabidi Waandishi wa habari wateme ukweli kuwa kuna ka Gang of 12 walioikaba nchi wakati huu wa ukame?

Haingii akilini, lazima kuna mtu mkubwa kawekwa mfukoni!
Target ni Mashimba Ndaki, waziri.

Timizeni mlokusudia.
 
Mambo makubwa ya Sukari na prf Mkenda SSH eti alisemaje. Suala la sukari ni kubwa au dogo?
Suala la mikopo ni kubwa au dogo? Alipolizungumzia ndugai nini ilikuwa reaction ya SSH? Hili nalo ni suala kubwa au dogo?
Suala la kula kwa urefu wa kamba ni kubwa au dogo? Jiji msimamo wa SSH kuhusu kula kwa urefu wa kamba.
Suala la KU-bar watu ambao hawaungi mkoni namna anavyoendesha serikali ni kubwa ua dogo?
Tazama kilimo kinavyofanyiwa mapinduzi kwa mapana yake kuliko kutazama zao moja la msimu kama sukari, tazama juhudi za mbolea zinavyoendeshwa kitaalam pasipo kukurupuka na madhara ya maamuzi.

Suala la mikopo ni kubwa na SSH na serikali yake wanatambua hilo na kuna ongezeko kubwa la upatikanaji wa mikopo pamoja na wafanyakazi kulipwa mishahara yao, kumbuka walikuwa na miaka mitano ya kuondoka mikono mitupu.

Kula kwa urefu wa kamba ni tafsiri hasi ya baadhi ya wapinzani wa serikali, ilikuwa na maana nyingine tofauti kabisa na hii inayosambazwa mitandaoni.

Ndugai alileta dharau akimuona rais ni mwanamke hakujua wala kutegemea muitikio aliokutana nao, kama Ndugai wapo wengi sana ndani ya serikali na CCM ni kasumba za mfumo dume.

Sidhani kama kuna lolote linalowakuta wapinzani wa serikali kwa sasa kama ukiamua kulinganisha na awamu zilizotangulia.
 
Suala eneo la Ihefu, chanzo cha mto mkuu wa Ruaha, limekuwa likilalamikiwa kwa miaka sasa.

Najua serikali imekuwa ikilishughulikia hili tatizo la kuingiliwa Ihefu kwa nyakati tofauti, lakini ni kama imekuwa funika kombe wanaharamu wapite.

Nashindwa kuelewa, inakuwaje mtu, watu wanachepusha mto mzimaa!!!
Na serikali hiyohiyo ipo.

Wafugaji wenye makundi ya ng'ombe 3,000 hadi 10,000 wameshidwa kudhibitiwa kwa miaka!

Kweli?

Serikali na vyombo vyake vyote imeshindwa kulitatua suala la Ihefu.

Sasa tunashituka Kidatu maji hakuna, Bwawa la Nyerere linatishia kuwa a white eleohant!
Hivi kuna uhujumu uchumi zaidi ya huu?

Cha kuchekesha kama si kufadhaisha, hivi inabidi Waandishi wa habari wateme ukweli kuwa kuna ka Gang of 12 walioikaba nchi wakati huu wa ukame?

Haingii akilini, lazima kuna mtu mkubwa kawekwa mfukoni!

Kama tunajua kulia, basi tujililie wenyewe. Mzee wangu aliwahi kunihusia nisicheze na serikali, maana serikali ina nguvu za ajabu sana. Ukiifanyia mchezo, itakusambaratisha.

Tuache masihala, familia 12, zinawezaje kutesa watu wengine milioni 60 kwa ajiri ya mambo yao ya ubinafsi? Hizo nguvu wametoa wapi?
 
Tazama kilimo kinavyofanyiwa mapinduzi kwa mapana yake kuliko kutazama zao moja la msimu kama sukari, tazama juhudi za mbolea zinavyoendeshwa kitaalam pasipo kukurupuka na madhara ya maamuzi.

Suala la mikopo ni kubwa na SSH na serikali yake wanatambua hilo na kuna ongezeko kubwa la upatikanaji wa mikopo pamoja na wafanyakazi kulipwa mishahara yao, kumbuka walikuwa na miaka mitano ya kuondoka mikono mitupu.

Kula kwa urefu wa kamba ni tafsiri hasi ya baadhi ya wapinzani wa serikali, ilikuwa na maana nyingine tofauti kabisa na hii inayosambazwa mitandaoni.

Ndugai alileta dharau akimuona rais ni mwanamke hakujua wala kutegemea muitikio aliokutana nao, kama Ndugai wapo wengi sana ndani ya serikali na CCM ni kasumba za mfumo dume.

Sidhani kama kuna lolote linalowakuta wapinzani wa serikali kwa sasa kama ukiamua kulinganisha na awamu zilizotangulia.
Mbolea ipi imeratibiwa kwa utulivu?.Watu tulianikwa juani kama dagaa tukigombea kujiandikisha Sasa hivi tunazurura na vocha mbolea hakuna.Mfano Mbeya na Songwe hakuna mbolea.Inasemekana wasambazaji hawajalipwa waliosambaza awamu ya kwanza.
 
Suala eneo la Ihefu, chanzo cha mto mkuu wa Ruaha, limekuwa likilalamikiwa kwa miaka sasa.

Najua serikali imekuwa ikilishughulikia hili tatizo la kuingiliwa Ihefu kwa nyakati tofauti, lakini ni kama imekuwa funika kombe wanaharamu wapite.

Nashindwa kuelewa, inakuwaje mtu, watu wanachepusha mto mzimaa!!!
Na serikali hiyohiyo ipo.

Wafugaji wenye makundi ya ng'ombe 3,000 hadi 10,000 wameshidwa kudhibitiwa kwa miaka!

Kweli?

Serikali na vyombo vyake vyote imeshindwa kulitatua suala la Ihefu.

Sasa tunashituka Kidatu maji hakuna, Bwawa la Nyerere linatishia kuwa a white eleohant!
Hivi kuna uhujumu uchumi zaidi ya huu?

Cha kuchekesha kama si kufadhaisha, hivi inabidi Waandishi wa habari wateme ukweli kuwa kuna ka Gang of 12 walioikaba nchi wakati huu wa ukame?

Haingii akilini, lazima kuna mtu mkubwa kawekwa mfukoni!
Engineer msomi Jidu La Mabambasi tukisema CCM na watendaji wake wameoza ujue hatutanii. Nchi imepoteza mwelekeo kila aliyeko kwenye nafasi anafanya ayatakayo, yanayompa raha yeye, tumbo lake na sehemu zake za siri. Bila kujalisha anaumiza na kutesa wangapi
 
Nakubaliana na wewe ingawaje si tatizo la CCM bali la mtu mmoja mmoja anaye faidisha tumbo lake.

Niliguswa sana na presentation ya yule mwanahabari Balile, ambaye alilieklezea tatizo la Ihefu kwa uchungu sana.Wanaofanya madudu hayo wapo, serikali inawajua lakini haichukui hatua.
Nani anapiga ganzi?
 
Hivi unazani hiyo serikali haiwajui hao watu? Kakwambia nani wanafahamika au kufahamiana vizuri ndiyo maana akija kiongozi anayefuatilia hizo mambo lazima wamkule tena mchana kweupe, tunamuombea huyo Balile MUNGU mwenyewe amlinde, hapo hapo ni kesi ya tumbili kupelekwa kwa nyani,

Kuna watu wanafaidi nchi hii jamani, mtu unaleta janga la nchi lakini unatembea kifua mbele na hakuna wakukugusa daa!
 
Bora wote tungekuwa wachawi nchi nzima tuwe tunaruka mpaka nyungo zinagongana angani labda tungeelewana na kwenda sawa.
 
Mama Samia kushindwa kuwadhibiti gang of 12 utakuwa ni udhaifu wa hali ya juu
 
Mbolea ipi imeratibiwa kwa utulivu?.Watu tulianikwa juani kama dagaa tukigombea kujiandikisha Sasa hivi tunazurura na vocha mbolea hakuna.Mfano Mbeya na Songwe hakuna mbolea.Inasemekana wasambazaji hawajalipwa waliosambaza awamu ya kwanza.
Hayo ni matatizo madogo sana na ni ya muda mfupi. Ni kama wakati wa JPM wakulima wa korosho walivyoteseka na maamuzi ya rais ya moja kwa moja.
 
Wakati mwingine ukiona imelazimika waandishi kutumika kuibua uozo mkubwa kiasi hiki maana yake njia za kawaida imeshindikana! Maana yake hao watuhumiwa ni sawa na wale Mzee Pinda alisema wakiguswa nchi itatikisika.

Hii nchi kuna watu wametugharimu sana na kuunda mitandao inayotuvuruga mno! Kuna kazi nzito ya kufanya.
 
Back
Top Bottom