5 Nyingi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2023
- 246
- 605
Ni wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7.
Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri hajatupa mrejesho wowote baada ya siku 7? Je ni dharau kwa wananchi? Au labda amesahau? Ikumbukwe kuwa si mara yakwanza kwa bi Ashatu Kijaji kudanganya umma, rejea kipindi kile cha mfumuko wa bei.
Ndugu Ashatu Kijaji bado mmiliki wa jezi hajafahamika? Au amefahamika ila unamwogopa?