hapa ndipo tunapotofautiana na watu wengi huko nje! sisi waandishi wa habari ni wa masilahi wanajua kwel kuandika ila hawajui kuwa habari inasehem tatu, mhim
1)kugundua
2)kutoa taarifa
3)kuhitimisha
kugundua
wapo vizri mno mnooooo
kutoa taarifa
there genius kabisaaaaaa
kuhitimisha
wanageuka kuwa waandishi wa riwaya kila mtu amalizie story
je kama jambo dogo tu la kujua mmliki halali wa hicho kilichoitwa jezi feki wameshindwa kumtaja,(siyo kwamba hawamjui)
je unahisi kwel wataweza kumtaja anaeiba fedha za umma? au kuhujumu uchumi?
hata hivyo tusijilaum Sana ndyo kwanza tupo awamu ya 5(rais wa 6) kuna nchi huko ina rais wa 46, kwel tujilinganishe nayo?
tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini..