Ishapita hiyoNi wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7.
Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri hajatupa mrejesho wowote baada ya siku 7? Je ni dharau kwa wananchi? Au labda amesahau? Ikumbukwe kuwa si mara yakwanza kwa bi Ashatu Kijaji kudanganya umma, rejea kipindi kile cha mfumuko wa bei.
Ndugu Ashatu Kijaji bado mmiliki wa jezi hajafahamika? Au amefahamika ila unamwogopa?
Kirefu chake???Mzigo wa HSC ule
Kumbe...Mzigo wa HSC ule
Hilo ni jambo la kawaida tu BwasheeNi wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7.
Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri hajatupa mrejesho wowote baada ya siku 7? Je ni dharau kwa wananchi? Au labda amesahau? Ikumbukwe kuwa si mara yakwanza kwa bi Ashatu Kijaji kudanganya umma, rejea kipindi kile cha mfumuko wa bei.
Ndugu Ashatu Kijaji bado mmiliki wa jezi hajafahamika? Au amefahamika ila unamwogopa?
Home Shopping Centre . Hawa ni wataalam wabobevu wa kukwepa kodi waliishika TRA na TPA enzi za awamu ya nne na kama tujuavyo awamu ya sita ni kivuli cha awamu ya nne ndiyo maana ya ukimya huu. Ndiyo maana huyu dogo mwenye komwe kama Mandonga alivyojitia kiherehere kufuatilia watu walikuwa wanamcheka tu kuwa anataka kuukata mkono unaomlisha.Kirefu chake???
Hizi jezi ziliingizwa ma mtoto wa mama mmoja mkubwa sana hapa nchiniNi wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7.
Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri hajatupa mrejesho wowote baada ya siku 7? Je ni dharau kwa wananchi? Au labda amesahau? Ikumbukwe kuwa si mara yakwanza kwa bi Ashatu Kijaji kudanganya umma, rejea kipindi kile cha mfumuko wa bei.
Ndugu Ashatu Kijaji bado mmiliki wa jezi hajafahamika? Au amefahamika ila unamwogopa?
Nimekuelewa vizuri mkuuHome Shopping Centre . Hawa ni wataalam wabobevu wa kukwepa kodi waliishika TRA na TPA enzi za awamu ya nne na kama tujuavyo awamu ya sita ni kivuli cha awamu ya nne ndiyo maana ya ukimya huu. Ndiyo maana huyu dogo mwenye komwe kama Mandonga alivyojitia kiherehere kufuatilia watu walikuwa wanamcheka tu kuwa anataka kuukata mkono unaomlisha.