Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hakyanani kuna mod itakuwa ameandika post through my nick.
Skuandika mimi deskmate, amini usiamini.
wewe jamaa acha longo longo weka dau mimi nichukue mtoto huyu ..mod mod hapa ..russian roulete alikuwa halali kwa sababu alikuwa na tatizo sasa hivi inawezekana keshapata dawa analala full time