Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Hao wa TFF?Ubaguzi wa namna hii ulishakemewa sana na Rais wetu wa awamu ya kwanza. Mbona kuna Timu nyingi tu zinafundishwa na makocha wasio wazawa? na timu zao zinatwaa ubingwa. Huyu kocha wetu amekukera nini?