Suala la kocha wa kuinoa Taifa Stars, TFF umakini unahitajika sana

Suala la kocha wa kuinoa Taifa Stars, TFF umakini unahitajika sana

Ubaguzi wa namna hii ulishakemewa sana na Rais wetu wa awamu ya kwanza. Mbona kuna Timu nyingi tu zinafundishwa na makocha wasio wazawa? na timu zao zinatwaa ubingwa. Huyu kocha wetu amekukera nini?
Hao wa TFF?
 
Kocha wa timu ya taifa mbona tayari ameshapatikana. Ni Ndairagije ambaye anakaimu kwa sasa. Bado hajatambulishwa rasmi tu. Waziri wa michezo tayari ameshafanya kikao na Azam na amewashauri Azam watafute Kocha mwingine. Huyu Ndairagije anapewa majukumu ya Timu ya Taifa. Nao Azam kiroho saaafi wameshakubali.
wanapeana kazi kishikaji, huyu Bwana TFF-KARIA nafasi zote za ajira hajawahi kuzitangaza anaweka watu kipyume na taratibu na serikali inamwangalia tu!
 
Back
Top Bottom