Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa Usiku huu.
Kiutaratibu taarifa inatolewa na serikali then taasisi, shule na vyuo husika ndipo nao wawajulishe watu wao. Sasa leo baada ya kupata taarifa kupitia social media ndipo watumishi wanawapigia waajiri wao kujiridhisha, vilevile wazazi wanapiga simu kwa walimu kujiridhisha.
Soma Pia: Baadhi ya watumishi wa umma Dar kufanyia kazi nyumbani Januari 27 na 28, 2025 sababu ya Mkutano wa Nishati Afrika
Nadhani taarifa ingetolewa wiki kabla waajiri , vyuo na shule wangewajulisha watu wao kwa taratibu za kazini/ shuleni kwao
Anyway huenda ni dharura