Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini.

Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka,
Kuna wanawake ni pasua kichwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anafkir na ww unapenda huo ujinga ujinga

We unataka K, afuu anakuonyesha clip za kijinga
 
Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini.

Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka,
Kuna wanawake ni pasua kichwa sana
Yamenikuta hayo,leo naenda kulala kwa mchepuko tu
 
Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini.

Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka,
Kuna wanawake ni pasua kichwa sana
Alafu mbaya zaidi siku hiyo unakuwa na mzuka ile mbaya yani lile akili ya kumuacha inaanza hapo hapo.

kunyimwa ni stress kubwa kinoma...

Hongela mkuu kwa kushinda majaribu.
 
Mchana wote mke hajaona dalili ya upendo hata kidogo, hakuna msg wala simu umwambie mkeo neno zuri zuri... Mnatoka kazini mume hujaona hata pipi njiani pia hata karanga ya 500? Unafika nyumbani hujui hata neno moja tamu la kumwambia mke... hata kumkonyeza hakuna...hata kumbambia mmekutana koridoni kidogo hakuna! Mnapanda kitandani ndio unakumbuka kuwa una mke unatia tia tu kama kuku unamaliza unageukia pembeni unakoroma...jinga kabisa wewe. Kesho yake ukiomba tena lazima unyimwe. Wote mnaolalamika huu ndio utaratibu wenu katika mapenzi. Ninakotoka mimi ni aibu kubwa mume kulalamika amenyimwa unyumba.
 
Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini.

Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka,
Kuna wanawake ni pasua kichwa sana
oyaa unaumizwa na ke moja umeiweka ndani kabisa? we mtoe out siku moja sapraiz mpitishe kimboka saa moja na nusu nenda nae concord kariakoo[sikukuu street usiku] akiona wenzake wanavyoiuza kwa bei nafuu atajua dhahabu aliyonayo kwenye mji wake.
 
Mchana wote mke hajaona dalili ya upendo hata kidogo, hakuna msg wala simu umwambie mkeo neno zuri zuri... Mnatoka kazini mume hujaona hata pipi njiani pia hata karanga ya 500? Unafika nyumbani hujui hata neno moja tamu la kumwambia mke... hata kumkonyeza hakuna...hata kumbambia mmekutana koridoni kidogo hakuna! Mnapanda kitandani ndio unakumbuka kuwa una mke unatia tia tu kama kuku unamaliza unageukia pembeni unakoroma...jinga kabisa wewe. Kesho yake ukiomba tena lazima unyimwe. Wote mnaolalamika huu ndio utaratibu wenu katika mapenzi. Ninakotoka mimi ni aibu kubwa mume kulalamika amenyimwa unyumba.
sms za muamala zinatosha wewe jikite kumpa amani na mahitaji yake home mpende mjali sms ikitokea ni kuwajulia hali mchana.
 
Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini.

Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka,
Kuna wanawake ni pasua kichwa sana
Acha uboya.. unamilikije demu mmoja?
 
Si heri ANinyime tu, wengine anakunyima na mkilala anajifanya anajiweka sawa matakk yake yote anayaleta kwenye chululuuu...

Sasa bora awe kalala na nguo nzito ila ni night dress hiyo atakugusisha zigo lake na ukimgusa Hataki.

Yani wana torturing ambayo unaweza jichukulia maamuzi mkononi ukaonekana Mbakaji.
 
Siwezi acha Pangia michepuko Nyumba, Siwezi maana ukisema mtumie Lodge/hotel gharama ni nyingi.

ni heri niendeleze kautaratbu ka kulipia zile master za 150k kwa mwezi unalipa ya Mwaka Unatulia.

Akibana, unainuka unajinyoosha unamwambie Naenda Dukani nakuja.

Kurudi ni kesho Tena nikitoka kazini,niko mwepesiiiii kama Uzi wa Sufi.
 
Back
Top Bottom