Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

Inakuwaje mke akunyime unyumba kama hana tatizo lolote kiafya na tena mnalala kitanda kimoja?
 
Jiongeze huko kwenye ujinga ndiko wanakoharibikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitumia mbinu za medani bila hivyo ungeandika Uzi
 
Kwani unamruhusu kulala na pedo,kama analala uchi kunyimwa ni udhaifu wako inatakiwa akiamka aikutie humo humo lazima ataongezea mwendo
 
Ishu ya ngono ni ishu ya saikoloji zaidi mke mume Kama ana maudhi au mvurugiko wa akili mnara hauwezi teleza
 
Mara mnaponda ke huku mnapenda Ile kitu Cha Kati
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabwakuu woiiii.
 
Mi Bora aninyime tu Kuna Ile kauli mnadinyana mtu anakwambia nimechoka. Brro kama unajuwa Bora uache Hadi mtu anatoa kauli hiyo ujuwe Hana feeling na wewe kabisa yaaani ye anahisi maumivu tu.
Ina ukweli ndani yake.
 
Kauli hizi:

Nimechoka
Humalizi tu na wewe
Mbona hukojoi
Basi maliza na wewe
Kojoa basi na wewe

Ukisikia hivyo jua hapo umedandia mtumbwi wa Vibwengo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna mambo nyie khaaah
 
Nilifanyiwa hivyo na mke wangu hivi navyoandika nipo na nyau 3 zote zinanililia mpaka nimeanza kuona kero.
WANAWAKE PLZ MSIFANYE HUU UJINGA UNAZUAGA MABALAA HUKO NJE mi nimekuja kujua kuna AZUMA NA POWER SAFE sijui ndo hivyo juzi tu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…