Atavuna anachopanda.Samia ni muuaji. Period
Mtu mnyime chote lkn sio chakula, hata mateka wa kivita sharti la kwanza la kimataifa asinyimwe chakula.Inasikitisha sana..
Kama anakomolewa akipewa chakula wanaona hatawasujudia.Mtu mnyime chote lkn sio chakula, hata mateka wa kivita sharti la kwanza la kimataifa asinyimwe chakula.
Ona hili shogaaHakuna makahama iliyoangua kilio ni wahalifu wenzake ndo wanaangua kilio , Lissu anastahili kunyongwa hastahili kumaliza chakula cha mahabusu huko gerezani.
Unamjua mkuu wa ulimwengu huu ambae huweka watawala wa kitaifa kwenye nafasi zao? Ukimjua hutashangazwa na vitu kama hivi, na utaelewa kwa nini dunia hii imekuwa na watawala kama Hitler, Musolini, Trump, Idd Amin na hata hiyo mifano ya hapa kwetuHivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui?
Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima?
Hivi watu wakishangilia vifo vya watu hawa bado mtasema wachekaji wameishiwa utu?
Mie nasema sio kucheka na kukejeli tu bali hata kuombea dua WAFE ni haki yao.
Na Malaika mtoa Roho ikimpendeza leo akichikua hata wanne kwa mpigo tutamshukuru ili kutupunguzia watu wenye roho mbaya ulimwenguni.
Nimekuelewa sana.. ndio maana viti vya mamlaka yao vinanuka damu zisizo na hatiaUnamjua mkuu wa ulimwengu huu ambae huweka watawala wa kitaifa kwenye nafasi zao? Ukimjua hutashangazwa na vitu kama hivi, na utaelewa kwa nini dunia hii imekuwa na watawala kama Hitler, Musolini, Trump, Idd Amin na hata hiyo mifano ya hapa kwetu
Hakuna makahama iliyoangua kilio ni wahalifu wenzake ndo wanaangua kilio , Lissu anastahili kunyongwa hastahili kumaliza chakula cha mahabusu huko gerezani.
Hiyo hata kwa Mungu ni dhambi kubwa sana, sijui huwa anaenda msikitini kufanya nini.Kama anakomolewa akipewa chakula wanaona hatawasujudia.
Watu wa Aina yako mara nyingi ni wale wenye akili zisizo Jali hata maungo yao ya mwili hata yakitumika kinyume na maumbile.kwao ni sawa tuu.Hakuna makahama iliyoangua kilio ni wahalifu wenzake ndo wanaangua kilio , Lissu anastahili kunyongwa hastahili kumaliza chakula cha mahabusu huko gerezani.