kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
TUNDULISU Kwanamna anavyokabia juu ,aitwe a.k.a nyangumi wasiasa duniani na jabali wa haki za binadamu duniani
Msikitini anaenda kama fashion lakini hana hofu yoyote na huyo Mungu. Hofu yake ni kupoteza madaraka sio Mungu asiyeonekana.Hiyo hata kwa Mungu ni dhambi kubwa sana, sijui huwa anaenda msikitini kufanya nini.
Hakuna haja ya hivyo maana haileti faida yoyote zaidi ya laana na mikosi ya kijinga, muungano uvunjike tu kila mtu apambane kivyake.Natamani rais ajaye toka bara atafute Mzanzibar mmoja maarufu amtese kwa kumfunga mpaka miaka 10 ya urais wake uishe ili kulipa kisasi.
Bila hivyo hawa Wazanzibar watatuonea sana
Usivunjike kabla ya kuwatesa hawa jamaa wametufanya bibi zao. Tukishawatesa ndiyo tuuvunje. Tena tuwachochee ASP wapigane na ZPPP/ZNP maana vita yao imelala tu siku yoyote itaamkaHakuna haja ya hivyo maana haileti faida yoyote zaidi ya laana na mikosi ya kijinga, muungano uvunjike tu kila mtu apambane kivyake.
Mkuu, jibu la swali uliloanza nalo ni hili: hao viumbe ni mchanganyiko, yaani uzao wa majini na binadamu! Teba wengine wameingia kabisa makubaliano na mashetani, wanazini nao, wanakunywa nao damu za watu nk.Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui?
Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima?
Hivi watu wakishangilia vifo vya watu hawa bado mtasema wachekaji wameishiwa utu?
Mie nasema sio kucheka na kukejeli tu bali hata kuombea dua WAFE ni haki yao.
Na Malaika mtoa Roho ikimpendeza leo akichikua hata wanne kwa mpigo tutamshukuru ili kutupunguzia watu wenye roho mbaya ulimwenguni.
Hii kesi ni aibu kwa nchi.Inasikitisha sana..