Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

taarifa za kuaminika baada ya kuuwa na kujerui raia oct 29 serikali haramu ilitoa maagizo majeruhi wapelekwe mochwari hatushangai Lissu kukaa njaa.

Hawa wapumbavu siku sio nyingi tunawanyonga shetani hana rafiki ole wenu mnao shirikiana nao kwenye upumbavu wao takataka kabisa.
 
lakini nyie mlivyowanyima mawakala wenu mlo wa mchana uchaguzi mdogo hamuoni

chadema bana muosha huoshwa ndugu
 
Eti kuna Tume ya Chande kutafuta chanzo cha MO29!
Hivi kwa haya yanayoendelea kuna mwenye akili timamu anayefikiri Tume inahitajika!

Pengine Tume inayopaswa kuundwa ni ya kuchunguza kwanini kiwango cha ukatili kimepita kiwango
 
AIBU SANA SANAA 😢 😞 😔 Hvi
Vilioo HAVIWAACHI SALAMA TOKA KWA MUNGU
 
Nchi ina laana tupo kufungana jela huku tukiwaacha wageni wakichuma wanavyotaka kazi kweli kweli..
 
Kama waliweza kuamuru watu hai/majeruhi wapelekwe mochwari ndo watashindwa kumyima lisu chakula?

Inaumiza sana
 
Muhalifu kama Lissu hadi muda huu ilitakiwa awe amenyongwa na siyo kuendelea kuwamalizia chakula mahabusu huko gerezani.
Uzuri wa kifo ni fumbo. Na uzuri zaidi ni la kila kiumbe hai. Hamna anaejua ataondoka vipi hapa duniani hata Balozi Polepole wakati yuko na madaraka ndani ya Chama alijigamba sana ila hakujua huko mbele kama wenzie wangemgeuka na kumtoa damu kiasi kile. Gereza ni la wote hasa ukiziwa wakiume mda wowote linaweza kukuhusu.So, iko siku pia usiyoijua mambo yaweza kugeuka ukaishia gerezani au ukafa kifo cha maumivu sana maana mifano hai ipo! Jiombee mwisho mwema ndugu yangu na usicheke baya linalomkuta mwenzio.HATUJUI KESHO YETU!!!😔😔
 
Kama waliweza kuamuru watu hai/majeruhi wapelekwe mochwari ndo watashindwa kumyima lisu chakula?

Inaumiza sana
Kwa wasomaji wa Biblia wanaweza kuona habari za Malkia YEZEBELI Enzi za Nabii Elia na alikuwa na matendo gani.
Lakini nini ilikuwa hatma yake? Alikufa kifo kibaya na maiti yake kuliwa na mbwa ni hiyo ni kumaanisha alilaaniwa.
Sasa hivi sie wa kizazi hiki tunajua kuwa kila mtu anajichagulia hatma yake mwenyewe?
Na jee kama sio upumbavu kwetu na uchaguzi mbaya kupata laana kwa kuunga mkono utawala ulio jichagulia laana?
Jee ndugu yangu Tlaatlaah USSR au Lucha nk mko tayari kupata laana ya vifo vya laana na maiti zenu kuliwa na mbwa kisa tu kufurahishwa na matendo ya YEZEBELI?
Amkeni, hamjachelewa! Badilini tabia na nuru itawaangazia.
 
Back
Top Bottom