Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮🚮Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao,wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
Chadema imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa ,karibuni mtueleze mipango mbadala
wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
Kama wanahamishwa na kupelekwa katika maeneo mapya.. tatizo liko wapi? Mi nilifikiri
Suala la Machinga wa kulaumiiwa ni CHADEMASuala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao,wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
Chadema imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa ,karibuni mtueleze mipango mbadala
Chadema haiwezi kutoa mbadala kwa watu wanaovunja sheria za barabarani. Yani mtu apange meza ya nyanya katikati ya high way afu akiondolewa uite watu au chama kije kumtetea. Ni mawazo ya wapi haya?Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao,wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
Kumbe wanahamishiwa sehem nyingine... sasa tatizo liko wapi hapo? Mi nilifikiri wanabomolewa na kuambiwa wasifanye tena biashara katika nchi hii au waende nchi jirani kufanya biashara zao!
Chadema imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa ,karibuni mtueleze mipango mbadala
Chadema wangefanya ukatili mkubwa kuliko hata huu unaofanywa na chama cha mafisadiSuala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao,wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
Chadema imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa ,karibuni mtueleze mipango mbadala
Sio kweli,Chadema kisingewazulumu hela ya Vitambulisho.Chadema wangefanya ukatili mkubwa kuliko hata huu unaofanywa na chama cha mafisadi
Chadema haiwezi kutoa mbadala kwa watu wanaovunja sheria za barabarani. Yani mtu apange meza ya nyanya katikati ya high way afu akiondolewa uite watu au chama kije kumtetea. Ni mawazo ya wapi haya?
Asanteni sana wote,naona kuna clip ya mwenyekiti wa Bavicha akilielezea hilo leo hii.Ngoja niisikilize vizuriSuala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
Sahihi kabisa ndio maana CCM wanataka KATIBA iwe ile ile.Chadema wangefanya ukatili mkubwa kuliko hata huu unaofanywa na chama cha mafisadi
Huo ndio ukweli. Maeneo hayatakaa yatoshe ikiwa sekta za kuwaajiri hawa hazitawezeshwa hasa kilimo kama ulivyogusia. Jaribu kufikiria sekta rasmi inaajiri wahitimu wangapi kati yao wote, hapo bado wale walioishia njiani msingi na sekondari bila kuwa na ujuzi wowote.Too late, tuendelee kukimbizana hivyohivyo tu maisha yasonge mbele. Suala la umachinga linaenda mbali zaidi ya kuwapangia sijui maeneo.
Kuanzia kwenye sera za nchi ni jinsi gani watazisaidia sekta zenye uzalishaji mkubwa kama kilimo na mifugo, viwanda, uvuvi nk.ziweze kuajiri vijana sio mtu na degree yake anauza chupi na boxer barabarani kariakoo.
Haiwezekani asilimia kubwa ya vijana waishie kwenye umachinga. Hv watatenga maeneo makubwa kiasi gani kuweza kubeba Malaki ya wamachinga
Ndugu:Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
Mbadala wa nini, kwa nani baada ya kujiona mko matope ya kiunoni?Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
Wao kazi yao ni kumkosoa Rais SSH kwa kila anachofanya. Still kama Samia asingewatoa machinga ungewasikia wakiilaumu Serikali vibaya sana kuwa wanaharibu miundombinu ya barabara.Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,