Suala la machinga, CHADEMA mngefanyaje?

Suala la machinga, CHADEMA mngefanyaje?

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.

CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.

Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
 
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao,wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.

Chadema imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa ,karibuni mtueleze mipango mbadala
🚮🚮🚮
 
Too late, tuendelee kukimbizana hivyohivyo tu maisha yasonge mbele. Suala la umachinga linaenda mbali zaidi ya kuwapangia sijui maeneo.

Kuanzia kwenye sera za nchi ni jinsi gani watazisaidia sekta zenye uzalishaji mkubwa kama kilimo na mifugo, viwanda, uvuvi nk.ziweze kuajiri vijana sio mtu na degree yake anauza chupi na boxer barabarani kariakoo.

Haiwezekani asilimia kubwa ya vijana waishie kwenye umachinga. Hv watatenga maeneo makubwa kiasi gani kuweza kubeba Malaki ya wamachinga
 
Suala la Machinga wa kulaumiiwa ni CHADEMA
 
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao,wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
Kumbe wanahamishiwa sehem nyingine... sasa tatizo liko wapi hapo? Mi nilifikiri wanabomolewa na kuambiwa wasifanye tena biashara katika nchi hii au waende nchi jirani kufanya biashara zao!
Chadema imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa ,karibuni mtueleze mipango mbadala
Chadema haiwezi kutoa mbadala kwa watu wanaovunja sheria za barabarani. Yani mtu apange meza ya nyanya katikati ya high way afu akiondolewa uite watu au chama kije kumtetea. Ni mawazo ya wapi haya?
 
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao,wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.

Chadema imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa ,karibuni mtueleze mipango mbadala
Chadema wangefanya ukatili mkubwa kuliko hata huu unaofanywa na chama cha mafisadi
 
Chadema haiwezi kutoa mbadala kwa watu wanaovunja sheria za barabarani. Yani mtu apange meza ya nyanya katikati ya high way afu akiondolewa uite watu au chama kije kumtetea. Ni mawazo ya wapi haya?

Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.

CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.

Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
Asanteni sana wote,naona kuna clip ya mwenyekiti wa Bavicha akilielezea hilo leo hii.Ngoja niisikilize vizuri
 
Too late, tuendelee kukimbizana hivyohivyo tu maisha yasonge mbele. Suala la umachinga linaenda mbali zaidi ya kuwapangia sijui maeneo.

Kuanzia kwenye sera za nchi ni jinsi gani watazisaidia sekta zenye uzalishaji mkubwa kama kilimo na mifugo, viwanda, uvuvi nk.ziweze kuajiri vijana sio mtu na degree yake anauza chupi na boxer barabarani kariakoo.

Haiwezekani asilimia kubwa ya vijana waishie kwenye umachinga. Hv watatenga maeneo makubwa kiasi gani kuweza kubeba Malaki ya wamachinga
Huo ndio ukweli. Maeneo hayatakaa yatoshe ikiwa sekta za kuwaajiri hawa hazitawezeshwa hasa kilimo kama ulivyogusia. Jaribu kufikiria sekta rasmi inaajiri wahitimu wangapi kati yao wote, hapo bado wale walioishia njiani msingi na sekondari bila kuwa na ujuzi wowote.
 
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.

CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.

Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
Ndugu:

Hili suala la ndugai na wabunge wake. Chadema ni kuwapa pole tu. Embu tuangalie nyumba za mbezi mahakama si ilishauri mwisho wake walifanya watakavyoi? Waache kutibua tibua maisha ya watu na nchi yao.

Wao ndiyo wanahaki ya kuishi kwa sababu wanna mshahara.
 
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.

CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.

Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
Mbadala wa nini, kwa nani baada ya kujiona mko matope ya kiunoni?
 
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.

CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.

Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
Wao kazi yao ni kumkosoa Rais SSH kwa kila anachofanya. Still kama Samia asingewatoa machinga ungewasikia wakiilaumu Serikali vibaya sana kuwa wanaharibu miundombinu ya barabara.

Nimewadharau sana
 
Back
Top Bottom