Suala la Machinga, yafanyike haya

Hahahahah yani unachekesha
U must be illiterate...ama if you are literate unafumbia macho tatizo kama JPM....kuleta siasa..wkt taratibu zinajulikana...jaribu kupunguza emotions kidogo and be objective kiasi...hata kidogo tu...

utaratibu ni SHERIA mama..na km nchi tumejiwekea na watu wote wanafuata
Isipokua machinga...hahaha
Machinga wakiumia ama wakipata unadhani mi nanufaika nini kwa mfano..i have nothing to gain and nothing to lose...

I am simply stating kuna tatizo la uholela na uvunjifu wa sheria na tatizo ni nani na nani kalilea na mwishowe watalitatua kina nani...ofcourse Serikali hao hao...when the Govt decides for u my friend mtanyooka...cz msingi wa Serikali ni SHERIA...

time will tell trust me...kwenye hili subiri mipango miji waje...
safisha safisha itapita and that is law and order...ndo the proper way of life kama tunataka kutengeneza maisha bora ya wananchi ambayo ni sustainable...na ijulikane in life hakuna shortcuts.....

ukosefu wa ajira upo ila uholela sio suluhu...nchi ni yetu sote ..wote tujitaftie kipato ila wote pia tufate sheria na kodi tulipe...

Mama kashawaandaa kisaikolojia utekelezaji utafuata..this will be painful to them but no way..in every revolution some must be eliminated..either machinga ama viongozi.,wapo viongozi hili suala litaondoka nao tuu..usidhani ni machinga pekee..bt no way..kama nchi lazima tuishi kwa utaratibu.....hayo ndio maendeleo....

Serikali utaratibu wake masoko yapo mjini na kila maeneo...ni suala la hawa watu kupangwa...
 
Umenikumbusha sinema ya rules of engagement- Samuel Jackson alitamka maneno yanayofanana na uliyotamka hapo

Kiukweli hakuna namna ni lazima tuipange vizuri miji yetu tunayoijenga kwa gharama kubwa sana!

Hakuna shida yeyote binadamu tukaishi kistaarabu, kwenye kuishi kistaarabu Pia kila mtu anaweza pata mkate Kama kawaida

Napongeza Serikali kwa kufuata ushauri wangu nilioutoa kwenye thread hii

Maamuzi shirikishi yatafanikisha kupanga miji yetu vizuri na kutufanya sote tuishi kistaaarabu
 
Ni hatari sana kila siku kuongeza kundi la watu wanaoingiza mapato kwa kigezo cha umachinga!

Ndo mana hata TRA wanashindwa kuwa effectieve maana kila kona ni machinga tu!

Hili kundi likiwekew utaratibu tutaanza kupata kodi na kuendesha nchi yetu bila kuhitaji mikopo au misaada kufanya miradi yetu ya kimaendeleo
 
Simplest way ni machinga wajiunge vikundi wapangishe fremu
Cost sharing itawasaidia
Fremu nyingi tu kariakoo wanafanya hivyo mfano wauza simu...

So same way kila mtu na biashara yake wajipange

Wakiwa na fremu serikali itawatambua na kodi watalipa na utaona hii nchi itakavyokuwa nzuri mana Serikali itakusanya kodi balaa...
Cz kila mtu atageuka balozi wa kustopisha uholela wa biashara...

Na tutazoea...na miji itakua safi

Uzuri Samia wala hana presha
Kimya kimyaa tuu ananyoosha watu wanafata sheria

Mfano posta ile majengo mengi sana hayana wapangaji ht mnazi mmoja
Machinga jipangeni watu wakikosekana barabarani watafata huduma kwenye fremu husika..tutazoea


Japo tujiandae hii process si nyepesi some people must be eliminated...#NO WAY
Tumeweka sheria tuzifuate
 
Kama kweli uliandika hivi basi ulilenga mlemle .mikoa zaidi ya 5 niliebahatika kuona zoezi hili likifanyika wametekeleza ulichomanisha hasa kutenga maeneo kalibu na stend ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…