KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Hahahahah yani unachekeshaHuna hoja wala mchango wa msingi kwenye hili, hujielewi, hulijui tatizo wala huwezi kuwa na suluhu unaongeaongea tuu sababu ya chuki zilizokujaa, choyo, roho mbaya na ubinafsi.
Ukipunguza roho mbaya na kufurahia maumivu ya wengine utaweza kujenga hoja za msingi na zenye maendeleo kwako na wengine.
Kwa taarifa yako tuu hakuna mtu mwenye akili anayechukia kodi maana kodi ni kwa maendeleo ya taifa ukiwamo wewe na hao wamachinga.
Na serikali inajua ipange utaratibu gani ili kila mmoja, tulia serikali ifanye kazi zake kwa utaratibu inayoona ni sahihi
U must be illiterate...ama if you are literate unafumbia macho tatizo kama JPM....kuleta siasa..wkt taratibu zinajulikana...jaribu kupunguza emotions kidogo and be objective kiasi...hata kidogo tu...
utaratibu ni SHERIA mama..na km nchi tumejiwekea na watu wote wanafuata
Isipokua machinga...hahaha
Machinga wakiumia ama wakipata unadhani mi nanufaika nini kwa mfano..i have nothing to gain and nothing to lose...
I am simply stating kuna tatizo la uholela na uvunjifu wa sheria na tatizo ni nani na nani kalilea na mwishowe watalitatua kina nani...ofcourse Serikali hao hao...when the Govt decides for u my friend mtanyooka...cz msingi wa Serikali ni SHERIA...
time will tell trust me...kwenye hili subiri mipango miji waje...
safisha safisha itapita and that is law and order...ndo the proper way of life kama tunataka kutengeneza maisha bora ya wananchi ambayo ni sustainable...na ijulikane in life hakuna shortcuts.....
ukosefu wa ajira upo ila uholela sio suluhu...nchi ni yetu sote ..wote tujitaftie kipato ila wote pia tufate sheria na kodi tulipe...
Mama kashawaandaa kisaikolojia utekelezaji utafuata..this will be painful to them but no way..in every revolution some must be eliminated..either machinga ama viongozi.,wapo viongozi hili suala litaondoka nao tuu..usidhani ni machinga pekee..bt no way..kama nchi lazima tuishi kwa utaratibu.....hayo ndio maendeleo....
Serikali utaratibu wake masoko yapo mjini na kila maeneo...ni suala la hawa watu kupangwa...