PostGE2025 Suala la Mapambano dhidi ya Ufisadi, Nepotism na uroho wa Madaraka sio la Gen z pekee, ni la Watanzania wote

PostGE2025 Suala la Mapambano dhidi ya Ufisadi, Nepotism na uroho wa Madaraka sio la Gen z pekee, ni la Watanzania wote

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Hoja kubwa ni kwa nini baadhi ya watu kadhaa wajione wao ndio watu wenye kunufaika na hili taifa?

Kwamba wao wanawez kujipa madaraka, kuiba mali za umma na kuona raia wengine ni takataka.

Suala la kupambana na watu kama hawa sio la kuwaachia Gen z peke yao. Ni suala la kila Mtanzania.
 
Back
Top Bottom