Suala la Mashoga lamponza Dudubaya. Apandishwa kizimbani kwa makosa ya kimtandao na kutoa lugha za matusi dhidi ya jamhuri na Kusaga

Akiwauliza kwani mashoga ni tusi si ni marafiki wa kike kesi imeisha😁
 
Alipokuwa anatukana wengine walimshangalia na majkuwaani walimpandisha na wimbo wakatoa sasa kibao kimegeuka kwetu sasa.Kamwe usimkumbatie kichaa bila kujua ameshika nini mana aweza kukudhuru mda wowote ule
 
Joseph ni kusaga tu, kama kamaanisha Joseph mamavi je
Na taiter kwani kuna Joseph wangapi ambao wanahisa na wasafi? Haiwezekani maelezo yake ya kutuhumu yakatumika logically kuthibitisha kwamba amemmaanisha Joseph mwenye mke anayetokea Znz? Mwenye wafanyakazi Mustaph (HR) na Nelly (Program Manager)?
 
Mashoga = Marafiki

kesi imeisha.
Kwahiyo alivyokua anapost video za kumuambia Makonda anamsaidia kumtajia mashoga alikua anamaanisha anamtajia marafiki?

Aisee jamhuri imesema ushahidi umekamilika kama unaamini hii logic yako itamsaidia mfuate fasta umsaidie.
 
Hakuna kesi hapo, Dudu ajatumia tusi lolote.

Kwani wewe nikisema unafuga mashoga unatafsiri vipi?
 
Kesi nyepesi sana.Joseph.Kusaga kafahamu vipi ni yeye wakati hapo imeandikwa Joseph ?Pia ana uhakika gani Dudubaya ndo kaandika ?
 
Ku-prove ni yeye aliandika ni changamoto mzee

Account tu sio issue,ila ishu ni kusema kwa uhakika beyond reasonable doubt kwamba ni yeye kweli owner wa hiyo account...

Thats a toll order
Kweli kama hujui, hujui tu
 
Ku-prove ni yeye aliandika ni changamoto mzee

Account tu sio issue,ila ishu ni kusema kwa uhakika beyond reasonable doubt kwamba ni yeye kweli owner wa hiyo account...

Thats a toll order
Tatizo la Konki Master sio tu anaandika anatoa pia na video kabisa ambazo ndio zitamfunga
 
Alipokuwa anatukana wengine walimshangalia na majkuwaani walimpandisha na wimbo wakatoa sasa kibao kimegeuka kwetu sasa.Kamwe usimkumbatie kichaa bila kujua ameshika nini mana aweza kukudhuru mda wowote ule
Tena walikua wanampa sifa na ushujaa wa kuumbua siri za watu hadharani, leo watamkana mchana kweupe.
 
Akiwauliza kwani mashoga ni tusi si ni marafiki wa kike kesi imeisha[emoji16]
Hapo kwenye ushoga hachomoki hata, ndo atajua kuwa nchi inaendeshwa kwa taratibu, kanuni na sheria,

Alidhani kwa kuwa ushoga n jinai hapa kwetu bas vyovyote atakavo harras yupo salama, lol leo anajuta tyuuuh mikononi mwa sheria.
 
umefurahi Choku
 
Tena walikua wanampa sifa na ushujaa wa kuumbua siri za watu hadharani, leo watamkana mchana kweupe.
Na hiyo ndio shida ya sisi watanzania tulimpa sifa nyingi pale alipokua anatukana watu ambao hatuwapendi ila tulisahau kuwa mbwa kichaa anaweza kukungata hata wewe mfugaji wake
 
Wa Tz ni wanafiki sana tena mno. Leo watamkana huyu dudu baya.
 
Hamna kesi hapo
Ni wapi alipotajwa mlalamikaji?
Je Joseph aliyetajwa ndiye mlalamikaji....je kwa nin isiwe Joseph warioba ?

Dudu Hana kesi ya kujibu
 
Back
Top Bottom