mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Si alipotea huyu naona kaibukia mahakamani sasa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka dudubaya wakati anawika Niko shule ya msingi namalizia malizia leo Niko thalathini kadhaa eti dudubaya ana miaka 41 acheni utani nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]konki konki konki
Nakumbuka dudubaya wakati anawika Niko shule ya msingi namalizia malizia leo Niko thalathini kadhaa eti dudubaya ana miaka 41 acheni utani nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na taiter kwani kuna Joseph wangapi ambao wanahisa na wasafi? Haiwezekani maelezo yake ya kutuhumu yakatumika logically kuthibitisha kwamba amemmaanisha Joseph mwenye mke anayetokea Znz? Mwenye wafanyakazi Mustaph (HR) na Nelly (Program Manager)?Joseph ni kusaga tu, kama kamaanisha Joseph mamavi je
Kwahiyo alivyokua anapost video za kumuambia Makonda anamsaidia kumtajia mashoga alikua anamaanisha anamtajia marafiki?Mashoga = Marafiki
kesi imeisha.
Hakuna kesi hapo, Dudu ajatumia tusi lolote.Kwahiyo alivyokua anapost video za kumuambia Makonda anamsaidia kumtajia mashoga alikua anamaanisha anamtajia marafiki?
Aisee jamhuri imesema ushahidi umekamilika kama unaamini hii logic yako itamsaidia mfuate fasta umsaidie.
Kweli kama hujui, hujui tuKu-prove ni yeye aliandika ni changamoto mzee
Account tu sio issue,ila ishu ni kusema kwa uhakika beyond reasonable doubt kwamba ni yeye kweli owner wa hiyo account...
Thats a toll order
Tatizo la Konki Master sio tu anaandika anatoa pia na video kabisa ambazo ndio zitamfungaKu-prove ni yeye aliandika ni changamoto mzee
Account tu sio issue,ila ishu ni kusema kwa uhakika beyond reasonable doubt kwamba ni yeye kweli owner wa hiyo account...
Thats a toll order
Tena walikua wanampa sifa na ushujaa wa kuumbua siri za watu hadharani, leo watamkana mchana kweupe.Alipokuwa anatukana wengine walimshangalia na majkuwaani walimpandisha na wimbo wakatoa sasa kibao kimegeuka kwetu sasa.Kamwe usimkumbatie kichaa bila kujua ameshika nini mana aweza kukudhuru mda wowote ule
Hapo kwenye ushoga hachomoki hata, ndo atajua kuwa nchi inaendeshwa kwa taratibu, kanuni na sheria,Akiwauliza kwani mashoga ni tusi si ni marafiki wa kike kesi imeisha[emoji16]
Ndo itafahamika sasa km mashoga ni marafiki au kitu kingine.Mashoga = Marafiki
kesi imeisha.
umefurahi ChokuHapo kwenye ushoga hachomoki hata, ndo atajua kuwa nchi inaendeshwa kwa taratibu, kanuni na sheria,
Alidhani kwa kuwa ushoga n jinai hapa kwetu bas vyovyote atakavo harras yupo salama, lol leo anajuta tyuuuh mikononi mwa sheria.
Anafurahi mtuhumiwa na kesi yake. Tena lazima atoe uthibitisho vinginevyo akaozee jela, iwe funzo kwa wengine.umefurahi Choku
Na hiyo ndio shida ya sisi watanzania tulimpa sifa nyingi pale alipokua anatukana watu ambao hatuwapendi ila tulisahau kuwa mbwa kichaa anaweza kukungata hata wewe mfugaji wakeTena walikua wanampa sifa na ushujaa wa kuumbua siri za watu hadharani, leo watamkana mchana kweupe.
Wa Tz ni wanafiki sana tena mno. Leo watamkana huyu dudu baya.Na hiyo ndio shida ya sisi watanzania tulimpa sifa nyingi pale alipokua anatukana watu ambao hatuwapendi ila tulisahau kuwa mbwa kichaa anaweza kukungata hata wewe mfugaji wake