Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

Huwezi kumgeuza shetani kuwa malaika hata siku moja utetezi wako kwa CCM na Magufuri ni kazi bure uongo kwao ndio ibada wasema kweli wapenzi wa Mungu , kazi kwenda kanisani kutembea tu , mnaahidi uongo mwingine huu hapa
IMG_20200909_215044.jpg
IMG_20200909_215040.jpg
 
Kama wewe ulishawahi kuwa mtumishi wa ngazi ya kawaida endelea kumwaga nondo. ila kama hujawahi, tafadhali kaa kimya, na usilete siasa kwenye haya mambo. ni watumishi wangapi wamepandishwa madaraja? ni posho zipi? hiyo payee unaijua? na unajua arrears wewe. naamini kabla ya 28/10 watumishi watasema neno na inaoneka hata annual increment huju ni nini
 
Nimekutukana kimoyo moyo maana awamu hii imetunyonya sana wafanyakazi kwenye suala la madaraja na annual increment
 
Nimegundua kitu ,wengi wa wachangiaji hamjawahi kuwa watumishi bàli ni wanasiasa na mnaona hii ni kama hoja wakati ni hoka nyepesi mno.

CCM ni chama cha ujamaa na kujitegemea na yanayofanyika ni katika kuhakikisha nchi inajitegemea na jamii yetu inainuka kwa usawa kwenye vipato,matibabu na elimu.

Ahsante Dr John Pombe Magufuli tunaona mtazamo wako.
CCM hiihii ndo ya kijamaa!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaizungumzia CCM ya miaka ipi ndugu yangu!?
Nakupa mfano mmoja tu,unamjua Deo Mwanyika!? Unafahamu alikuwa na kesi gani ambayo alifunguliwa na serikali!? Hivi unajua kama huyo jamaa ni mgombea kiti cha ubunge kupitia ccm!?
 
Sawa zipo njia nyingi za ku deal na mshahara hivyo msipuuze miradi mikubwa itakayoongeza tija na inayochagiza ukuaji wa uchumi. Twende na vipaumbele vya miradi muhimu vitavyopunguza ugumu wa maisha in a long run akiwemo mfanyakazi. Ustawi wa uchumi utachochea ongezeko kubwa la mishahara kutokana na Pato la Taifa kuwa kubwa. Duniani kote nchi zenye mishahara mikubwa na ongezeko la kila mara zina uchumi mkubwa i.e Malaysia,Afrika kusini, Ghana.Tusiangalie leo tu ingawa bado maslahi mapana ya watumishi yamefanyiwa kazi i.e tumeona issue ya PAYE ina impact kwenye take home salarly.Lets appreciate kwa hatua hii tuache siasa.
 
Nimegundua kitu ,wengi wa wachangiaji hamjawahi kuwa watumishi bàli ni wanasiasa na mnaona hii ni kama hoja wakati ni hoka nyepesi mno.

CCM ni chama cha ujamaa na kujitegemea na yanayofanyika ni katika kuhakikisha nchi inajitegemea na jamii yetu inainuka kwa usawa kwenye vipato,matibabu na elimu.

Ahsante Dr John Pombe Magufuli tunaona mtazamo wako.
Wewe umeandika nini?Mimi nilijua utakuja na data baada ya utangulizi wako,kumbe kilichofuata ni ngonjera na blah blah tu!Shwain!
 
Sawa zipo njia nyingi za ku deal na mshahara hivyo msipuuze miradi mikubwa itakayoongeza tija na inayochagiza ukuaji wa uchumi. Twende na vipaumbele vya miradi muhimu vitavyopunguza ugumu wa maisha in a long run akiwemo mfanyakazi. Ustawi wa uchumi utachochea ongezeko kubwa la mishahara kutokana na Pato Taifa kubwa.Tusiangalie leo tu ingawa bado maslahi mapana ya watumishi yamefanyiwa kazi tumeona issue ya PAYE Lets appreciate kwa hatua hii tuache siasa.
Stahiki zangu kisheria unazifanyia siasa!Hebu kuwa na utu,hayo mambo ya kunywa maji ya kijani na kujitoa ufahamu yaweke kando!
 
Hoja hapa ni kwamba maslahi ya watumishi ni mapana ukiwemo mshahara ni vizuri kuangalia kwa kina hatua zilizochukuliwa na serikali ikiwemo posho na marupurupu mengineyo,mazingira ya kazi, pensheni, mikataba ya kazi na upandishwaji vyeo nk.

Tatizo watu wamechukua eneo moja tu la mshahara kwa sababu za kisiasa zaidi na kulishadidia.Hata hivyo nani kafanya utafiti wa kina kuhusu suala hili atupe matokeo tujadili kwa takwimu na taarifa za kisayansi.
Watumishi wenye posho ni wachache sana ni mara nyingi ni wakuu wa idara ambao mishahara yao ni ss
 
Mjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa watumishi wa umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika utumishi wa umma.

Wapinzani wanasahau upandishwaji madaraja yanayoendana na mabadiliko ya mishahara, pia mabadiliko mapya ya posho mbalimbali zilizoongezeka, kupungua kwa Paye kutoka asilimia 11 hadi 9 na mengineyo mengi ambayo kimsingi yametumia fedha za umma na fedha za walipa kodi.

Tunapojadili mishahara tuzungumze kwa kujumuisha maslahi yote tutaeleweka tusibague manufaa mengine.

Naona umeshiba na kuvimbiwa kodi zetu, ukaona ulete huu uharo wako humu jukwaani.

Uvccm mnazingua sana. Tangu mruhusiwe na Katibu wenu Mkuu basi hatunywi maji.
 
Sawa zipo njia nyingi za ku deal na mshahara hivyo msipuuze miradi mikubwa itakayoongeza tija na inayochagiza ukuaji wa uchumi. Twende na vipaumbele vya miradi muhimu vitavyopunguza ugumu wa maisha in a long run akiwemo mfanyakazi. Ustawi wa uchumi utachochea ongezeko kubwa la mishahara kutokana na Pato la Taifa kuwa kubwa. Duniani kote nchi zenye mishahara mikubwa na ongezeko la kila mara zina uchumi mkubwa i.e Malaysia,Afrika kusini, Ghana.Tusiangalie leo tu ingawa bado maslahi mapana ya watumishi yamefanyiwa kazi i.e tumeona issue ya PAYE ina impact kwenye take home salarly.Lets appreciate kwa hatua hii tuache siasa.
Paye reduction is an issue of Politics. Why this year, a year of general election
 
Mjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa watumishi wa umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika utumishi wa umma.

Wapinzani wanasahau upandishwaji madaraja yanayoendana na mabadiliko ya mishahara, pia mabadiliko mapya ya posho mbalimbali zilizoongezeka, kupungua kwa Paye kutoka asilimia 11 hadi 9 na mengineyo mengi ambayo kimsingi yametumia fedha za umma na fedha za walipa kodi.

Tunapojadili mishahara tuzungumze kwa kujumuisha maslahi yote tutaeleweka tusibague manufaa mengine.

Point za makada wa CCM ova vichwa vimejaa Mavi
 
Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu. Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.

Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.
 
Watumishi wenye posho ni wachache sana ni mara nyingi ni wakuu wa idara ambao mishahara yao ni ss
Hawezi kulijua hilo, kwanza ndio wenye hizo safari na vitu kedekede vya kujiandikia posho, mwenzangu na mimi posho utakutana nayo wapi.
 
Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu. Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.

Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.
Kwa hii TUME ya wateule wa mgombea? Ni ngumu!!
 
Nimegundua kitu ,wengi wa wachangiaji hamjawahi kuwa watumishi bàli ni wanasiasa na mnaona hii ni kama hoja wakati ni hoka nyepesi mno.

CCM ni chama cha ujamaa na kujitegemea na yanayofanyika ni katika kuhakikisha nchi inajitegemea na jamii yetu inainuka kwa usawa kwenye vipato,matibabu na elimu.

Ahsante Dr John Pombe Magufuli tunaona mtazamo wako.

Acha porojo. Ujamaa na kujitegemea imebakia maandishi tu kwenye katiba lakinimfumo wetu wa kijamii, kiuchumi na kiutawala hauakisi tena hiyo Ujamaa na kujitegemea. Hapaja wahi na wala hapatakuwa na usawa kwenye vipato, matibabu na elimu. At the heart of Ujamaa ni utu sasa haupo tena, Sasa hivi vongozi wamekuwa wa binafsi na wanaoangalia maslahi yao Zaidi kuliko ya mwananchi wa kawaida. Viongozi hawana ahadi tena wala uheshimu wa sharia na katiba bali wanaendeshana kutenda kazi zao kwenye maamuzi walivyoamka siku hiyo na wanavyo jisikia.
 
Nimegundua kitu ,wengi wa wachangiaji hamjawahi kuwa watumishi bàli ni wanasiasa na mnaona hii ni kama hoja wakati ni hoka nyepesi mno.

CCM ni chama cha ujamaa na kujitegemea na yanayofanyika ni katika kuhakikisha nchi inajitegemea na jamii yetu inainuka kwa usawa kwenye vipato,matibabu na elimu.

Ahsante Dr John Pombe Magufuli tunaona mtazamo wako.
Ofisa unakuaje mwe.hu hivi?? ccm oyee
 
Mbona wabunge huwa hamuwambii kuwa hamtawalipa posho na malipo mazuri ili hela ziende kwenye maendeleo?kwa hiyo watumishi tena wanaifanya ccm ionekane ndo mbuzi wa kafara?Oneni aibu basi na hata mfanyapo ibada kuweni na aibu nasi
Sawa zipo njia nyingi za ku deal na mshahara hivyo msipuuze miradi mikubwa itakayoongeza tija na inayochagiza ukuaji wa uchumi. Twende na vipaumbele vya miradi muhimu vitavyopunguza ugumu wa maisha in a long run akiwemo mfanyakazi. Ustawi wa uchumi utachochea ongezeko kubwa la mishahara kutokana na Pato la Taifa kuwa kubwa. Duniani kote nchi zenye mishahara mikubwa na ongezeko la kila mara zina uchumi mkubwa i.e Malaysia,Afrika kusini, Ghana.Tusiangalie leo tu ingawa bado maslahi mapana ya watumishi yamefanyiwa kazi i.e tumeona issue ya PAYE ina impact kwenye take home salarly.Lets appreciate kwa hatua hii tuache siasa.
 
Kama wewe ulishawahi kuwa mtumishi wa ngazi ya kawaida endelea kumwaga nondo. ila kama hujawahi, tafadhali kaa kimya, na usilete siasa kwenye haya mambo. ni watumishi wangapi wamepandishwa madaraja? ni posho zipi? hiyo payee unaijua? na unajua arrears wewe. naamini kabla ya 28/10 watumishi watasema neno na inaoneka hata annual increment huju ni nini
Toka mwaka 2013 Kuna jamaa hajalipwa madai yake ya mshahara ,kapanda daraja mwaka 2019 ana endelea kudai tena kwa hiyo jamaa anadai malimbikizo ya mshahara Mara mbili!!!

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Mjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na Wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa Watumishi wa Umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika utumishi wa umma.

Wapinzani wanasahau upandishwaji madaraja yanayoendana na mabadiliko ya mishahara, pia mabadiliko mapya ya posho mbalimbali zilizoongezeka, kupungua kwa Paye kutoka asilimia 11 hadi 9 na mengineyo mengi ambayo kimsingi yametumia fedha za umma na fedha za walipa kodi.

Tunapojadili mishahara tuzungumze kwa kujumuisha maslahi yote tutaeleweka tusibague manufaa mengine.
Umeshiba mpaka umevimbiwa. Watumishi wa umma wanaishi maisha ya kuaibika sana. Punguza gesi hiyo akili ipande kichwani
 
Back
Top Bottom