Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
CCM hiihii ndo ya kijamaa!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaizungumzia CCM ya miaka ipi ndugu yangu!?Nimegundua kitu ,wengi wa wachangiaji hamjawahi kuwa watumishi bàli ni wanasiasa na mnaona hii ni kama hoja wakati ni hoka nyepesi mno.
CCM ni chama cha ujamaa na kujitegemea na yanayofanyika ni katika kuhakikisha nchi inajitegemea na jamii yetu inainuka kwa usawa kwenye vipato,matibabu na elimu.
Ahsante Dr John Pombe Magufuli tunaona mtazamo wako.
Wewe umeandika nini?Mimi nilijua utakuja na data baada ya utangulizi wako,kumbe kilichofuata ni ngonjera na blah blah tu!Shwain!Nimegundua kitu ,wengi wa wachangiaji hamjawahi kuwa watumishi bàli ni wanasiasa na mnaona hii ni kama hoja wakati ni hoka nyepesi mno.
CCM ni chama cha ujamaa na kujitegemea na yanayofanyika ni katika kuhakikisha nchi inajitegemea na jamii yetu inainuka kwa usawa kwenye vipato,matibabu na elimu.
Ahsante Dr John Pombe Magufuli tunaona mtazamo wako.
Stahiki zangu kisheria unazifanyia siasa!Hebu kuwa na utu,hayo mambo ya kunywa maji ya kijani na kujitoa ufahamu yaweke kando!Sawa zipo njia nyingi za ku deal na mshahara hivyo msipuuze miradi mikubwa itakayoongeza tija na inayochagiza ukuaji wa uchumi. Twende na vipaumbele vya miradi muhimu vitavyopunguza ugumu wa maisha in a long run akiwemo mfanyakazi. Ustawi wa uchumi utachochea ongezeko kubwa la mishahara kutokana na Pato Taifa kubwa.Tusiangalie leo tu ingawa bado maslahi mapana ya watumishi yamefanyiwa kazi tumeona issue ya PAYE Lets appreciate kwa hatua hii tuache siasa.
Watumishi wenye posho ni wachache sana ni mara nyingi ni wakuu wa idara ambao mishahara yao ni ssHoja hapa ni kwamba maslahi ya watumishi ni mapana ukiwemo mshahara ni vizuri kuangalia kwa kina hatua zilizochukuliwa na serikali ikiwemo posho na marupurupu mengineyo,mazingira ya kazi, pensheni, mikataba ya kazi na upandishwaji vyeo nk.
Tatizo watu wamechukua eneo moja tu la mshahara kwa sababu za kisiasa zaidi na kulishadidia.Hata hivyo nani kafanya utafiti wa kina kuhusu suala hili atupe matokeo tujadili kwa takwimu na taarifa za kisayansi.
Mjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa watumishi wa umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika utumishi wa umma.
Wapinzani wanasahau upandishwaji madaraja yanayoendana na mabadiliko ya mishahara, pia mabadiliko mapya ya posho mbalimbali zilizoongezeka, kupungua kwa Paye kutoka asilimia 11 hadi 9 na mengineyo mengi ambayo kimsingi yametumia fedha za umma na fedha za walipa kodi.
Tunapojadili mishahara tuzungumze kwa kujumuisha maslahi yote tutaeleweka tusibague manufaa mengine.
Paye reduction is an issue of Politics. Why this year, a year of general electionSawa zipo njia nyingi za ku deal na mshahara hivyo msipuuze miradi mikubwa itakayoongeza tija na inayochagiza ukuaji wa uchumi. Twende na vipaumbele vya miradi muhimu vitavyopunguza ugumu wa maisha in a long run akiwemo mfanyakazi. Ustawi wa uchumi utachochea ongezeko kubwa la mishahara kutokana na Pato la Taifa kuwa kubwa. Duniani kote nchi zenye mishahara mikubwa na ongezeko la kila mara zina uchumi mkubwa i.e Malaysia,Afrika kusini, Ghana.Tusiangalie leo tu ingawa bado maslahi mapana ya watumishi yamefanyiwa kazi i.e tumeona issue ya PAYE ina impact kwenye take home salarly.Lets appreciate kwa hatua hii tuache siasa.
Mjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa watumishi wa umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika utumishi wa umma.
Wapinzani wanasahau upandishwaji madaraja yanayoendana na mabadiliko ya mishahara, pia mabadiliko mapya ya posho mbalimbali zilizoongezeka, kupungua kwa Paye kutoka asilimia 11 hadi 9 na mengineyo mengi ambayo kimsingi yametumia fedha za umma na fedha za walipa kodi.
Tunapojadili mishahara tuzungumze kwa kujumuisha maslahi yote tutaeleweka tusibague manufaa mengine.
Hawezi kulijua hilo, kwanza ndio wenye hizo safari na vitu kedekede vya kujiandikia posho, mwenzangu na mimi posho utakutana nayo wapi.Watumishi wenye posho ni wachache sana ni mara nyingi ni wakuu wa idara ambao mishahara yao ni ss
Kwa hii TUME ya wateule wa mgombea? Ni ngumu!!Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu. Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.
Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.
Nimegundua kitu ,wengi wa wachangiaji hamjawahi kuwa watumishi bàli ni wanasiasa na mnaona hii ni kama hoja wakati ni hoka nyepesi mno.
CCM ni chama cha ujamaa na kujitegemea na yanayofanyika ni katika kuhakikisha nchi inajitegemea na jamii yetu inainuka kwa usawa kwenye vipato,matibabu na elimu.
Ahsante Dr John Pombe Magufuli tunaona mtazamo wako.
Ofisa unakuaje mwe.hu hivi?? ccm oyeeNimegundua kitu ,wengi wa wachangiaji hamjawahi kuwa watumishi bàli ni wanasiasa na mnaona hii ni kama hoja wakati ni hoka nyepesi mno.
CCM ni chama cha ujamaa na kujitegemea na yanayofanyika ni katika kuhakikisha nchi inajitegemea na jamii yetu inainuka kwa usawa kwenye vipato,matibabu na elimu.
Ahsante Dr John Pombe Magufuli tunaona mtazamo wako.
Sawa zipo njia nyingi za ku deal na mshahara hivyo msipuuze miradi mikubwa itakayoongeza tija na inayochagiza ukuaji wa uchumi. Twende na vipaumbele vya miradi muhimu vitavyopunguza ugumu wa maisha in a long run akiwemo mfanyakazi. Ustawi wa uchumi utachochea ongezeko kubwa la mishahara kutokana na Pato la Taifa kuwa kubwa. Duniani kote nchi zenye mishahara mikubwa na ongezeko la kila mara zina uchumi mkubwa i.e Malaysia,Afrika kusini, Ghana.Tusiangalie leo tu ingawa bado maslahi mapana ya watumishi yamefanyiwa kazi i.e tumeona issue ya PAYE ina impact kwenye take home salarly.Lets appreciate kwa hatua hii tuache siasa.
Toka mwaka 2013 Kuna jamaa hajalipwa madai yake ya mshahara ,kapanda daraja mwaka 2019 ana endelea kudai tena kwa hiyo jamaa anadai malimbikizo ya mshahara Mara mbili!!!Kama wewe ulishawahi kuwa mtumishi wa ngazi ya kawaida endelea kumwaga nondo. ila kama hujawahi, tafadhali kaa kimya, na usilete siasa kwenye haya mambo. ni watumishi wangapi wamepandishwa madaraja? ni posho zipi? hiyo payee unaijua? na unajua arrears wewe. naamini kabla ya 28/10 watumishi watasema neno na inaoneka hata annual increment huju ni nini
Umeshiba mpaka umevimbiwa. Watumishi wa umma wanaishi maisha ya kuaibika sana. Punguza gesi hiyo akili ipande kichwaniMjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na Wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa Watumishi wa Umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika utumishi wa umma.