britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nauliza tu mfano ukaambiwa yule Ummy mwalimu kapigwa chini je watasubiri waapishwe pamoja na wajana au ?Ikiwa budget ya kuwaapishia haitoshi, kumbuka hizi ni tarehe za mishahara
Kumbuka yule RC aliteuliwa kwenda Njombe, siku kadhaa akatenguliwaNauliza tu mfano ukaambiwa yule Ummy mwalimu kapigwa chini je watasubiri waapishwe pamoja na wajana au ?
Usisahau kuwa hata marehemu wanapata teuzi siku hizi, only in Tanzania.Habari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaan Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Duh!Sasa hao wagawa "virinda" huwa mnapiga nao stori gani?Au kwa sababu tu nao ni viumbe wa Mungu?Mlete benchi Ummy mwalimu ,walete benchi wagawa virinda tumewamiss kijiweni kwetu tupige nao story
Mwigulu ana jopo la wachawi, ila yupo moja huyo bikizee ana titi moja kiboko sana.Mwigulu jiandae kisaikolojia
Inawezekana kabisa wala haina shida !Habari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaan Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Inaonekana ' KAZI' haijaisha. Wapi Mwigulu 🤷Mmmmmmh I smell something fishy.
Wewe nakuogopa kama nini