Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana hata Ruto anafanya vivyohivyoHabari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaan Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Kuna Watu umewapa tumbo Joto hapa maana yake kuna Mkeka upo Jikoni tayari kupakuliwa soon kuna Watu wanafunga viragoMfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaan Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Duh!Sasa hao wagawa "virinda" huwa mnapiga nao stori gani?Au kwa sababu tu nao ni viumbe wa Mungu?
[/QUOTMmoja anapendeleaga kutuambia mengi hasa aliyokutana nayo katika uongozi wake tukuka na anayoendelea kukutana nayo .
Hawa wengine wanakuwaga wachangiaji Ila sana sana story zetu ni kuhusu harakati zet maana tumetoka nao mbali kabla hawajawa huko hivyo uwa tunakumbushana tulikotoka nao na mwisho maji unywewa na chakula ulika japo sasa ni desturi si Mila tena
Lakini yawezekana Madelu ana uchawi mkuu ndo maana anasahaulikaMwigulu jiandae kisaikolojia
Sio shida kabisa..umesahau hapo ikulu alihamisha mfulululizo kwa siku TOFAUT tofauti?? Kazi iendelee..na akimaliza bado Kuna RC na DC awasogeze pembeniHabari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaan Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Nakusoma vyema,fedha,kilimo,kuna jambo linafukutaHabari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Kama namuona Bomboko mavi yanagonga chupi na kurudi ndani.Sio shida kabisa..umesahau hapo ikulu alihamisha mfulululizo kwa siku TOFAUT tofauti?? Kazi iendelee..na akimaliza bado Kuna RC na DC awasogeze pembeni
Na iwe hivyo 👍Inawezekana kabisa.
😀Habari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
JeneisterKwa upande wangu Nape alistahili huyo mtoto wa wazuri hawafi pia tuone Baba ake atakufanya nini maana ana mikwara sana bado Mwigulu,Jenista,Chalamila na yule mjinga Bomboko juzi Odemba anamuuliza maswali ya msingi anatuletea madharau na huyo mteuzi awe makini na suala la uchimbaji madini pale Serengeti.
Na mimi ninaomba kuuliza swali ni kweli lango kuu la Nchi inaongozwa na DPW kutokea Rwanda?