Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

Inawezekana hata Ruto anafanya vivyohivyo
 
Kuna Watu umewapa tumbo Joto hapa maana yake kuna Mkeka upo Jikoni tayari kupakuliwa soon kuna Watu wanafunga virago
 
 
Sio shida kabisa..umesahau hapo ikulu alihamisha mfulululizo kwa siku TOFAUT tofauti?? Kazi iendelee..na akimaliza bado Kuna RC na DC awasogeze pembeni
 
Nakusoma vyema,fedha,kilimo,kuna jambo linafukuta
 
Kwa upande wangu Nape alistahili huyo mtoto wa wazuri hawafi pia tuone Baba ake atakufanya nini maana ana mikwara sana bado Mwigulu,Jenista,Chalamila na yule mjinga Bomboko juzi Odemba anamuuliza maswali ya msingi anatuletea madharau na huyo mteuzi awe makini na suala la uchimbaji madini pale Serengeti.
Na mimi ninaomba kuuliza swali ni kweli lango kuu la Nchi inaongozwa na DPW kutokea Rwanda?
 
😀
 
Jeneister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…