Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Wanajua kuzifuata, (kuzichangamkia), fursa Ndiyo wakati wa mavuno kwao wakati wa uchaguzi Ndiyo muda muafaka wa kuvuna, wajinga Ndiyo waliwao
 
Mkuu wewe upo kwenye mstari ulionyooka mama rula.

Lakini usichokijua katika mantiki ya uzi huu ni kwamba, hapa vinapiganwa vita vya mashabiki, usipokuwa makini vitakuchanganya.

Nikutolee mfano wa majukwaa ya washabiki wa Simba na Yanga.

Shabiki ukijichanganya kukaa jukwaa jingine na kuonesha furaha yako ya moja kwa moja kwa timu yako, waweza pigwa na kuumizwa.

Je wakati ukiadhibiwa waweza kuhoji juu ya uhuru wako wa kuonesha furaha katikati ya jukwaa jingine?

Ndiyo haya sasa ya uzi huu.
 
It is a philosophical point, that is to say, you can look at the same glass and say it is half empty while another can say it is half full.

Malema: Asilimia 50 ya wabunge humu ni wapumbavu

Mbunge wa ANC: Spika, naomba Malema afute kauli hiyo, inatweza utu wetu na haina busara

Spika: Malema hebu futa kauli hiyo

Malema: Sawa Mheshimiwa Spika, nafuta kauli. Asilimia 50 ya wabunge humu sio wapumbavu

Wabunge wa ANC: 👏🏿👏🏿👏🏿
 
Wewe uko na D2,amekariri kwamba msanii akijipendekeza anateuliwa na kupewa kitengo
Mtu akishakua famous et anakuja kugombea ubunge jimboni vijana nao mnampa kura bila kuona alishawai kuwa na mchango gani katika huo ufemous wake katika jamii yake kuna vijana makini unaona mchango wao eti leo babu tale mbunge nikasem tanzania vijana tunatakiwa tuwe na maono sio kila famous anawez kukuongoz utasikia uyo nae anakuja kugombea na mnampa sijui hao wanaoigiza nao mnawap kura pasipo kuona huyu ana impact kwel katika jamii zetu
 
Alikua msanii wa kimataifa kwenye mataifa gani??
 
Hili Ni Tatizo lako la kutekwa na hisia za kichama, akili inakuwa diluted to the maximum.

Katika mazungumzo yangu, tangu mwanzo, sijataja chama hata kimoja. Sijaingiza U-CCM, U-Chadema, U-ACT, n.k. ktk hoja zangu. Ila wewe umeamua kunilisha maneno ili uonekane mshindi, au Siyo!
Sizungumzi hoja zangu ktk mlengo WA kisiasa zaidi. Kwamba kwa nini kaenda CCM na si Chadema? Duh! Huo si Msingi WA hoja yangu.
Umeamua tu kunihamishia magoli ili uonekane mwerevu kuliko..... 🙋🙋
 
Wanajua kuzifuata, (kuzichangamkia), fursa Ndiyo wakati wa mavuno kwao wakati wa uchaguzi Ndiyo muda muafaka wa kuvuna, wajinga Ndiyo waliwao
Hela nyoko sana, huyu tuliambiwa waligawana bilioni moja moja na FA baada ya kuwashinda tigo mahakamani. B imekata unaanza kutafuta hela kwenye siasa!? Noma sana
 
Hahahaaaa, aisee, umejua kunichekesha.
 
Ukiwa na pesa nyingi unatesaka mwenyewe kwa maana utakula vinono halafu vinaanza kukutesa matokeo ya kula sana vinono ni kuugua na kufa mapema ama kufilisika na kuteseka
Ila kama imeisha mpaka kipindi cha kampeni atumike kisiasa ni noma sana. Ilitakiwa awe CEO wa mambo yake, very busy Guy. Ile ishu ya wife na kuishi USA huenda ilitafuna pesa ya huyu jamaa. Mambo ya hovyo kabisa.
 
Ila kama imeisha mpaka kipindi cha kampeni atumike kisiasa ni noma sana. Ilitakiwa awe CEO wa mambo yake, very busy Guy. Ile ishu ya wife na kuishi USA huenda ilitafuna pesa ya huyu jamaa. Mambo ya hovyo kabisa.
Migodi huvuruga vijana, (wanaume)
 
Wanamsapot mwanafa
 
Mkuu.

Jielimishe kuhusu kunenepeana. Kuna watu wananenepeana kwa sababu za kibaiolojia tu.

Halafu kuna watu wanene wana afya nzuri na kuna watu si wanene wana afya mbaya.

Huo msimamo wako ni wa kizamani sana na umepitwa na wakati.
 
Bongo bado tuko nyuma sana kwa vision huwa wanakuja kugundua kuwa mtu hafai baada ya miaka 10 au 20 baadae anakuja mwingine tena kama yule aliyepita halafu wanamchagua tena.
Tumetengeneza kizazi cha machawa upeo wa kufikiri umeshuka leo hii mtu kama mwijaku au Baba level akigombea nafasi ya uongozi watu watawachagua eti kwa vile ni maarufu inasikitisha sana
 
Naelewa sana kuna ushabiki. Nina u expose huo ushabiki kwa kufanya mazungumzo ya hoja na kuonesha kuwa upande ninaoupinga hauna hoja.

Ndiyo maana mpaka sasa nauliza maswali ambayo hayajibiwi, na mara kadhaa naishia kutukanwa tu kwa ad hominem fallacies.

Naelewa kuna ushabiki, ninachofanya ni kuu expose ili watu wanaojali hoja waelewe.
 
Ushaona sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…