Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wanajua kuzifuata, (kuzichangamkia), fursa Ndiyo wakati wa mavuno kwao wakati wa uchaguzi Ndiyo muda muafaka wa kuvuna, wajinga Ndiyo waliwaoHuyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946