Suala la Mugalu imenifanya nigundue jinsi gani wachambuzi wengi wa soka Bongo ni bendera fata upepo

Suala la Mugalu imenifanya nigundue jinsi gani wachambuzi wengi wa soka Bongo ni bendera fata upepo

Wewe ulipaswa uwe umekufa Kwa kukanyagwa kipindi kile cha meko, na inaonekana Una mpira wa kizamani Sana, nikupe mfano mmoja tu Olivier Giroud kom e la dunia alicheza mechi zote mpaka fainal akiwa Hana hata shoot on target moja lakini ndio chaguo namba moja la kocha, ndivyo ilivyo Kwa mugalu hata asipofunga bado uwezo wake huwezi kuulinganisha na bocco au kagere
We ndo huelewi kitu...Kuna muda maamuzi fulani ya makocha huwa sio kwa sababu ya mifumo ya timu, bali nikwa sababu ya mahaba yao kwa wchezaji husika...mfano, Guardiola alimuacha Ronaldinho akiwa katika ubora wake...alimkataa etoo na Yaya toure akiwa kwenye ubora wake...Unataka kusema kuna mfumo ambao etoo na ronaldinho wasingefit?...Hujawahi kuona makocha wana hama na wachezaji popote wanapoenda?..yale ni mahaba tu.

Inshu ya Giroud ni mahaba tu ya Deschamps...Ni kama mahaba aliyowahi kuwa nayo ndairagije kwa Kaseja...Na bahati yao walichukua world cup lasivyo deschamps ulikuwa mwisho wake kufundisha timu ya taifa...sasa striker hufungi, huassist wala huna shot on target halafu shabiki kama wewe unakuja na hoja uchwara eti Fulani yupo uwanjani anatengeneza nafasi kwa wengine...are you serious?

Tuseme tu udhaifu wa Giroud ulifichwa na ubora wa france...udhaifu wa Mugalu unafichwa na ubora wa timu..Jamaa hana drible, hana assist, hafungi, hawin mipira na hana shots on target halafu unasema ana umuhimu pale mblele..are you serious?....Kiufupi ni bora simba ikacheza 10 uwanjani (bila mugalu) na mashabiki wamejaa uwanja mzima kuliko kucheza 11 akiwemo mugalu bila mashabiki.....Muda sio mrefu tutaimba lugha moja.
 
Mchambuzi wa mpira ni poa akiwa mtu ambaye alishaucheza kama kina MICHAEL OWEN, IAN WRIGHT, RIO FERDINAND, ALLY MAYAI na wengine. Sio mtu hata danadana moja hawezi lakini anafosi kuwa pundit.
Kwani Ally Mayai na Amri Kiemba (wachambuzi waliocheza mpira) wanasemaje kuhusu Mugalu ?
 
Mkuu kwani wewe unaamini katika individuality ?
''Nini kimefanyika'' huwa haikuhusu sana bali ''nani amefanya'' ndio muhimu zaidi ?

Idara ya ushambuliaji ya Simba akiwepo Mugalu inatengeneza nafasi nyingi za kufunga na hivyo inakua fanisi zaidi.

Idara ya ushambuliaji ya Simba ikiwa na Kagere, inatengeneza nafasi chache na hivyo inapunguza ufanisi.

Inaonekana wewe hujali kabisa kuhusu hayo mawili, kitu pekee unachojali ni kwamba Je, kati ya Kagere, Mugalu au Bocco, wakipata nafasi za kufunga zinazofanana ni nani (individual) atafunga zaidi.

Nitakua niko sawa kama nikidhani kwamba hivyo ndivyo unaamini (individual brilliance matters the most)
Mkuu hebu acha propaganda...njoo na takwimu za chances created alipocheza Mugalu au alipocheza Kagere..njoo na takwimu atleast 3 matches
 
Ukweli ni kwamba Mugalu anavumilika kwa sasa kwa sababu timu inapata matokeo

Time is a good teacher
Ile siku kama tusingefanya sub ya Mugalu, basi AS Vita wangesawazisha na kutuongeza. Ingekuwa hivyo alafu simba ikatoka, kwa zile nafasi alizokosa huyo "mshambuliaji mkabaji" mambo yangekuwa mengine humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Ally Mayai na Amri Kiemba (wachambuzi waliocheza mpira) wanasemaje kuhusu Mugalu ?
Nilichosimama nacho hapa ni sifa za mchambuzi wa mpira ambaye ni CREDIBLE, sijajishughulisha na suala la THE ANIMAL.

Hii ni topic pana mnooo.
 
Ile siku kama tusingefanya sub ya Mugalu, basi AS Vita wangesawazisha na kutuongeza. Ingekuwa hivyo alafu simba ikatoka, kwa zile nafasi alizokosa huyo "mshambuliaji mkabaji" mambo yangekuwa mengine humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuja kukubishia kwa kusema

"AS Vita wasingesawazisha, kwakuwa kule mbele Mugalu anawakaba kulekule"

Sijawahi kusikia mshambuliaji wa mwisho yaani namba tisa anaacha majukumu yake na kuwa Mkabaji mahiri.
Binafsi licha ya kuzuiazuia mipira muda furani
Sijaiona Mugalu akikaba.
Sijaona akitoa assist,
Sijaona akifunga magoli akiwa sehemu ngumu.
Sijaona akiwapiga chenga mabeki pinzani.
Sijaona akipiga za bunduki za maana golini.
Hakika sijaona labda kwa nadra sana,.
Huo mpira mzuri sijui anachezea wapi.
 
Watu wazima hawawezi kuwa wanatumia muda wao kujadili kwamba magoli ya penati yahesabiwe au yasihesabiwe.
Unapotaka kuaminisha watu kuwa Mugalu ni striker mzuri,eti kwasababu ana magoli mawili nyuma ya wanaoongoza kwa magoli matatu, lazima tuanze kuyajadili. Maana ukiondoa penelty, goli lake jingine halina skills zozote zaidi ya ngekewa tu.

Hebu angalia magoli ya Chama, miquisone na hao washambuliaji wa timu nyingine, unaona kabisa yanatokana na skills za kiwango cha juu. Hao wenye magoli matatu wangekuwa subjected kwenye nafasi alizopata Mugalu huenda wangekuwa na magoli hata 6 au 7.Yani mshambuliaji anapata nafasi zaidi ya 11 anafunga magoli 2, seriously?

Ni bora uendelee kuniona sio mtu mzima kwa kuacha kumpaka mafuta Mugalu, kwakua siwezi kutetea ujinga wake. Kufanya hivyo ni sawa na kulazimisha makalio yako kutafuna muwa,na sio kazi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nicheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]. Hao wenye magoli matatu mbele ya Mugalu, nina uhakika kama wangekuwa subjected kwenye nafasi za wazi kabisa alizopata Mugalu basi wangekuwa na magoli hata 6 au 7 kabisa, maana ukiangalia jamaa amekosa nafasi za wazi zaidi ya 11 emagine[emoji23][emoji23][emoji23].

Lakini pia tusisahau kuwa goli moja Kati ya hayo mawili ni la penalty, na hata hilo jingine halikuwa na skills zozote za maana.Hebu angalia magoli ya miquisone na Chama, unaona kabisa ni ya skills za kiwango cha juu,mpaka yanaingia katika kinyang'anyiro cha magoli bora ya mashindano. Ukweli usemwe Mugalu hana kiwango kinachotosha yeye kucheza Simba,ni vile tu kocha hana namna.

Alafu sikuelewi kabisa unaposema kuwa, eti swala la wachezaji kuingia kwenye vikosi vya wiki na kushindanishwa katika ubora wa magoli ni maswala ya kishabiki. Hebu niambie hapa ni wapi huko ambako ubora wa mchezaji hauhusianishiwi na takwimu na maoni mbalimbali ya mashabiki? Maana hata BaronDo(sijui inaamdikwaje),ni matokeo ya takwimu na maoni pamoja na kura za mashabiki, au wewe unataka Mugalu apimwe kwa Kipi? [emoji23][emoji23]

Ukweli usemwe, Mugalu ni mshambuliaji wa kiwango cha chini sana. Unasema hakuna striker mzuri afrika, hatukatai ila sio kwa kiwango hicho cha Mugalu Sasa, Hebu jaribu kulinganisha uwezo wa Makambo(aliyewahi kuwa striker wa yanga) au Dube na huyo Mugalu wako. Yani kama yule Makambo au huyu Dube, wangekuwa kwenye hiki kikosi kinachotengeneza nafasi nyingi hivi wasingekuwa kama huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nirudie tena, nafasi hazizawadiwi, zinatengenezwa. Akicheza meddie timu haitengenezi nafasi kama ambavyo inafanya akicheza Mugalu. Hapa hoja yako ya kuwa-subject washambuliaji wengine kwenye nafasi ambazo Simba inatengeneza with Mugalu inakosa mashiko.

Pili nina uhakika mimi na wewe wote hatujui hao washambuliaji wengine wamekosa nafasi ngapi sasa. Kwahiyo kusema wao hawakosi kama Mugalu ni kufanya majumuisho yenye kuelemea upande mmoja.

Mwanzo nilidhani unataka Mugalu afunge magoli, baadae nimegundua kwamba kumbe magoli hayo hayatakiwi kuwa ya penati na pia yanatakiwa kuwa skillful kama ya akina Chama na Luis.
Daah mkuu unataka vitu vingi sana toka Mugalu aisee.

Halafu mkuu, Kwani Makambo ana magoli mangapi huko Horoya au unamzungumzia ''Makambo wa mwaka juzi'' ? Maana mwaka juzi hata Mugalu alikua mfungaji bora wa ligi ya Zambia.
 
Naunga mkono hoja, wachambuzi wa bongo wengi ni bendera fuata upepo

Wanashindwa kujifunza hata vitu basic vya uchambuzi kutoka nje ya nchi (Ulaya)

Kitu nilichogundua Wachambuzi wengi wa bongo hawawezi kupiga mpira hata danadana 5 na wachambuzi wakubwa wa nchi za wenzetu wamecheza katika top top level, kama hawajacheza basi katika maisha yao yote wamejihusisha na soka kwa ukaribu sana
Japokua uwezo wa mtu kiuchambuzi hauwezi kupimwa kwa umahiri wake katika ''kupiga danadana'' na kuucheza mpira, ila mimi naomba uniambie tu uniambie hao wachambuzi wa Ulaya walisemaje kuhusu Olivier Giroud na Ufaransa yake iliyotwaa ubingwa wa Dunia ?
 
Watakuja kukubishia kwa kusema

"AS Vita wasingesawazisha, kwakuwa kule mbele Mugalu anawakaba kulekule"

Sijawahi kusikia mshambuliaji wa mwisho yaani namba tisa anaacha majukumu yake na kuwa Mkabaji mahiri.
Binafsi licha ya kuzuiazuia mipira muda furani
Sijaiona Mugalu akikaba.
Sijaona akitoa assist,
Sijaona akifunga magoli akiwa sehemu ngumu.
Sijaona akiwapiga chenga mabeki pinzani.
Sijaona akipiga za bunduki za maana golini.
Hakika sijaona labda kwa nadra sana,.
Huo mpira mzuri sijui anachezea wapi.
Angekuwa anawakabia wachezaji hukohuko kwenye 18 yao, ile siku kule Congo Djuma Shabani asinge tusumbua vile mpaka miquisone akarudi kuja kumsaidia Zimbwe. Kwahiyo Wawa,Onyango,Lwanga,Zimbwe ,Kapombe,Mzamiru na huyo Mugalu wote wawe wakabaji ni nini Sasa hicho? Siamini kabisa kama kuna mashabiki wa Simba Sc,wanaotaka Simba iridhike na huduma ya striker kama Mugalu.

[emoji1542]Mugalu hakabi kwa kiwango wanachomsifia hapa.

[emoji1542] Mugalu hawezi kudribble mipira.

[emoji1542]Mugalu hapigi mashuti langoni kuwa wapinzani, katika hili nampa marks Miquisone.

Mugalu ni wa kiwango cha chini sana. Simba ukipata nafasi, iangalie namna ya kupata offensive striker sio huyu Mugalu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nirudie tena, nafasi hazizawadiwi, zinatengenezwa. Akicheza meddie timu haitengenezi nafasi kama ambavyo inafanya akicheza Mugalu. Hapa hoja yako ya kuwa-subject washambuliaji wengine kwenye nafasi ambazo Simba inatengeneza with Mugalu inakosa mashiko.

Pili nina uhakika mimi na wewe wote hatujui hao washambuliaji wengine wamekosa nafasi ngapi sasa. Kwahiyo kusema wao hawakosi kama Mugalu ni kufanya majumuisho yenye kuelemea upande mmoja.

Mwanzo nilidhani unataka Mugalu afunge magoli, baadae nimegundua kwamba kumbe magoli hayo hayatakiwi kuwa ya penati na pia yanatakiwa kuwa skillful kama ya akina Chama na Luis.
Daah mkuu unataka vitu vingi sana toka Mugalu aisee.

Halafu mkuu, Kwani Makambo ana magoli mangapi huko Horoya au unamzungumzia ''Makambo wa mwaka juzi'' ? Maana mwaka juzi hata Mugalu alikua mfungaji bora wa ligi ya Zambia.
Nimegundua huyu Mshkaji ana chuku za bure tu kwa Mugalu, ebu atuambie huyo Kagere anaetaka aanze kucheza badala ya Mugalu mechi ya mwisho na Al Ahly alianza alifanya nini zaidi ya kukimbia kimbia tu uwanjani, kutuliza tu mpira ilikuwa shughuli kwake.

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Unapotaka kuaminisha watu kuwa Mugalu ni striker mzuri,eti kwasababu ana magoli mawili nyuma ya wanaoongoza kwa magoli matatu, lazima tuanze kuyajadili. Maana ukiondoa penelty, goli lake jingine halina skills zozote zaidi ya ngekewa tu.

Hebu angalia magoli ya Chama, miquisone na hao washambuliaji wa timu nyingine, unaona kabisa yanatokana na skills za kiwango cha juu. Hao wenye magoli matatu wangekuwa subjected kwenye nafasi alizopata Mugalu huenda wangekuwa na magoli hata 6 au 7.Yani mshambuliaji anapata nafasi zaidi ya 11 anafunga magoli 2, seriously?

Ni bora uendelee kuniona sio mtu mzima kwa kuacha kumpaka mafuta Mugalu, kwakua siwezi kutetea ujinga wake. Kufanya hivyo ni sawa na kulazimisha makalio yako kutafuna muwa,na sio kazi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani mkuu si tumekubaliana kwamba kazi ya mshambuliaji ni kufunga ?
Is It necessary kwamba magoli aliyoyafunga yawe skillful ?
Na yasiwe ya penati ?
Hee, kuna mambo yananipita hapa kumbe.
 
Katika mechi ya nyumbani na AS Vita, Mugalu alivyotolewa yakapatikana magoli mawili ya haraka haraka matokeo yakawa 4 : 1

Hiki ndicho tunachokiongela hapa.
Sio kweli Simba bila Mugalu inakosa Team building from behind to
foward.
Sub yake ilikuwa Supper Sub.
Mpira wa sasa hivi unahitaji Nguvu Kasi na akili.
Mugalu ana nguvu na kidogo kasi, ila kwenye kutumia akili kidogo ana mapungufu.
Uliiangalia mechi ya Al Ahly dhidi ya Simba kule Cairo ?
Kama ulitazama basi hautakua na shaka juu ya hoja hiyo kwamba build up inakua ngumu sana with Kagere as a lone striker.
Vinginevyo tuendelee kubishana katika namna ya ''changamsha genge''
 
We ndo huelewi kitu...Kuna muda maamuzi fulani ya makocha huwa sio kwa sababu ya mifumo ya timu, bali nikwa sababu ya mahaba yao kwa wchezaji husika...mfano, Guardiola alimuacha Ronaldinho akiwa katika ubora wake...alimkataa etoo na Yaya toure akiwa kwenye ubora wake...Unataka kusema kuna mfumo ambao etoo na ronaldinho wasingefit?...Hujawahi kuona makocha wana hama na wachezaji popote wanapoenda?..yale ni mahaba tu.

Inshu ya Giroud ni mahaba tu ya Deschamps...Ni kama mahaba aliyowahi kuwa nayo ndairagije kwa Kaseja...Na bahati yao walichukua world cup lasivyo deschamps ulikuwa mwisho wake kufundisha timu ya taifa...sasa striker hufungi, huassist wala huna shot on target halafu shabiki kama wewe unakuja na hoja uchwara eti Fulani yupo uwanjani anatengeneza nafasi kwa wengine...are you serious?

Tuseme tu udhaifu wa Giroud ulifichwa na ubora wa france...udhaifu wa Mugalu unafichwa na ubora wa timu..Jamaa hana drible, hana assist, hafungi, hawin mipira na hana shots on target halafu unasema ana umuhimu pale mblele..are you serious?....Kiufupi ni bora simba ikacheza 10 uwanjani (bila mugalu) na mashabiki wamejaa uwanja mzima kuliko kucheza 11 akiwemo mugalu bila mashabiki.....Muda sio mrefu tutaimba lugha moja.

Kwenye hoja yako ya Giroud na Ufaransa uko sahihi sana (Mchezaji alibebwa na ubora wa timu).
Ila ukijiuliza Ubora wa Ufaransa uliletwa na nini hata ikaweza kumbeba Giroud, utagundua kwamba hauko sahihi katika hoja yako.

Case ni sawa kwa Mugalu na Simba.
 
Uliiangalia mechi ya Al Ahly dhidi ya Simba kule Cairo ?
Kama ulitazama basi hautakua na shaka juu ya hoja hiyo kwamba build up inakua ngumu sana with Kagere as a lone striker.
Vinginevyo tuendelee kubishana katika namna ya ''changamsha genge''
Niliangalia.
Kwahiyo unataka kutuambia kule Misri angeanza Mugalu, tungetoka na matokeo mazuri zaidi ya yale ?

Kwako #Mwanamaji
 
Nirudie tena, nafasi hazizawadiwi, zinatengenezwa. Akicheza meddie timu haitengenezi nafasi kama ambavyo inafanya akicheza Mugalu. Hapa hoja yako ya kuwa-subject washambuliaji wengine kwenye nafasi ambazo Simba inatengeneza with Mugalu inakosa mashiko.

Pili nina uhakika mimi na wewe wote hatujui hao washambuliaji wengine wamekosa nafasi ngapi sasa. Kwahiyo kusema wao hawakosi kama Mugalu ni kufanya majumuisho yenye kuelemea upande mmoja.

Mwanzo nilidhani unataka Mugalu afunge magoli, baadae nimegundua kwamba kumbe magoli hayo hayatakiwi kuwa ya penati na pia yanatakiwa kuwa skillful kama ya akina Chama na Luis.
Daah mkuu unataka vitu vingi sana toka Mugalu aisee.

Halafu mkuu, Kwani Makambo ana magoli mangapi huko Horoya au unamzungumzia ''Makambo wa mwaka juzi'' ? Maana mwaka juzi hata Mugalu alikua mfungaji bora wa ligi ya Zambia.
Swala sio sisi kutaka au kutotaka Mugalu afunge na wala comments zetu hapa haziwezi kumfanya afunge.Yes nataka Mugalu afunge ila ni kwamba huo uwezo hana, yani hana hapo alipo kajikamua vyakutosha, usidhani anaipenda hiyo hali.

Nimemlingamisha na wachezaji wengine kwasababu wewe umetaka kutukata kauli juu ya ubutu wake, kwa kigezo cha magoli yake mawili, bila kujali wale wengine walipata nafasi ngapi za wazi kama yeye.

Unaposema nafasi zinatengenezwa, unaamaana kwamba Mugalu ndo anazitengeneza hizo nafasi au? Maana sisi huwa tunaona anapenyezewa pass na akina Morisson, Chama, Miquisone, kapomba ili afunge badala yake anaamua kuzigeuza kuwa kosakosa[emoji23].Ile game ya Al ahly Kagere halupata nafasi nyingi kama Mugalu kwasababu eneo la kiungo halikuwa bora sana mwanzoni mwa mchezo, mpaka pale sub zilipofanyika. Kwahiyo zile nafasi anazopata sio kwamba anazitengeneza yeye,ingekuwa hivyo basi angekuwa na assist za kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
q
Hata mimi nawajua offensive striker mkuu

Zingine mbwembwe tu

Sasa Mugalu akabe, Onyango akabe, Lwanga akabe ili iweje [emoji23]

Mkuu, ina maana hujawahi kuona Aguero anakaba ?
Unajua kuna baadhi ya mambo humu tunatakiwa tuache kujadili bali tuanze KUFUNDISHANA
 
Back
Top Bottom