Duh, hili nalo unahitaji mwanasheria kweli, kifupi tambua huyo mwanamke alishakuona wewe mme bwege huna muelekeo ameamua kujiandaa na maisha yake ya baadae.Naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwanamke anayejenga nyumba kwa siri akiwa ndani ya ndoa
Unataka sheria ikusaidie kulea ujinga wako? au unataka sheria ya kumzuia kufanya maendeleo yake binafsi hiyo haipo labda kaulize wale wazee wa madrassa. Lakini kwa sheria ya nchi labda subiri kikao cha 100 cha bunge la JMT