Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haaa zimefika mkuusema aliyekutekaa msalimie sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa zimefika mkuusema aliyekutekaa msalimie sana
Naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwanamke anayejenga nyumba kwa siri akiwa ndani ya ndoa
Naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwanamke anayejenga nyumba kwa siri akiwa ndani ya ndoa
Wakija watuambie pia kwa mwanaume yeye imekaaje?
Chakujiuliza, anajenga kwa pesa ya nani?Naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwanamke anayejenga nyumba kwa siri akiwa ndani ya ndoa
Acha kuonyesha ujinga wako humuMjinga mwenyewe
Wewe ukionyesha akili zako inatosha. Wenye ujinga wetu tuache kama tulivyo...acha genyeAcha kuonyesha ujinga wako humu
Wewe ndie mwenye genye..dalili ya mwanamke mwenye genye ni kuwa na panic disoderWewe ukionyesha akili zako inatosha. Wenye ujinga wetu tuache kama tulivyo...acha genye