Yani hela ya mwanaume iishie kwa kuhonga mahawara na ulevi halafu hela ya mwanamke afanye maendeleo ya sharing na Mwanaume?
Ktk mazingira hayo Mwanamke akiamua kufanya maendeleo yake ni sawa tu.
Labda mwanamke afanye kwa hila kuwa yeye hana kipato anategemea kipato cha mume halafu wakati huo huo anamwibia na kwenda kujenga nyumba yake peke yake.
Lakini iwapo mwanamke akijenga nyumba kwa kipato cha jasho lake 100% ruksa [emoji106]
Tena wakati mwingine huna haja ya kumficha mumeo.
Sababu unatumia jasho lako Kwanini usite kuwa wazi?!