Suala la Nchimbi kufukuzwa CCM: Vijana msijimalize, kuna kesho!

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Vijana wenzangu, Nchimbi siyo mwanasiasa mdogo, msijimalize kwa kuwa mnasaka ugali kwa sasa.

Mnataka kuwafurahisha walio juu sasa hivi, kesho hawatokuwepo. Kumbukeni nyinyi bado ni machalii wadogo, kuna kesho wakuu. Zibeni ndimi zenu, usiku mwema.
 
ok. 🐒
 
Acha wajitoe ufahamu ili wapate teuzi..
 
Hii ishu ya Nchimbi ukiizOOm unaona kabisa iwapo litatokea jambo lolote ndani ya hii miaka 4 basi jamaa anachukua nafasi (namanisha siku CCM wakipelekewa moto na tayari dalili zipo)
 
Amekuwa Mwenyekiti UVCCM kwa miaka 10 tena kwa mafanikio, Mbunge, Waziri, Katibu Mkuu CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu na NEC kwa zaidi ya miaka 10 na Mwanadiplomasia kwa miaka zaidi ya mitano.

Angalia hata wale Wazee wenye CCM yao wakihojiwa kama wanachangia kwa kuponda, wengine wanakaa kimya.

Macomrade wenzake wa miaka na miaka hawatamtupa , walikuwa nae wakati wa mvua na wakati wa jua, wanasubiri muda muafaka tu.
 
Vijana wa lumumba wakisha pigwa miti wakapewa elfu10 ya bando wanamtukana kila mtu, kesho yakiwakuta wanalia peke yao.
Lukasi Mshamba anaoezea huko
 
Kuna yule dogo Kawaida sijui huyu mama yao akisepa atakuwa wapi
 
Amekuwa Mwenyekiti UVCCM kwa miaka 10 tena kwa mafanikio, Mbunge, Waziri, Katibu Mkuu CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu na NEC kwa zaidi ya miaka 10 na Mwanadiplomasia kwa miaka zaidi ya mitano.

Angalia hata wale Wazee wenye CCM yao wakihojiwa kama wanachangia kwa kuponda, wengine wanakaa kimya.

Macomrade wenzake wa miaka na miaka hawatamtupa , walikuwa nae wakati wa mvua na wakati wa jua, wanasubiri muda muafaka tu.

Nchimbi na Membe unafikiri nani alikua mkubwa?
 
Watu nchi hii ni WANAFIKI BALAA....Hivi mtu kama Bashungwa anaweza kusema kosa la Nchimbi ni lipi??? au yeye na Nchimbi nani hasa mwana CCM wa kweli"

Bashungwa ananuka Damu za watoto wetu October 29 huyo ni pimbi tu
 
Watu nchi hii ni WANAFIKI BALAA....Hivi mtu kama Bashungwa anaweza kusema kosa la Nchimbi ni lipi??? au yeye na Nchimbi nani hasa mwana CCM wa kweli"
Uroho wa madarka unamsumbua
 
Back
Top Bottom