Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
ok. 🐒Vijana wenzangu, Nchimbi siyo mwanasiasa mdogo, msijimalize kwa kuwa mnasaka ugali kwa sasa.
Mnataka kuwafurahisha walio juu sasa hivi, kesho hawatokuwepo. Kumbukeni nyinyi bado ni machalii wadogo, kuna kesho wakuu. Zibeni ndimi zenu, usiku mwema.
Acha wajitoe ufahamu ili wapate teuzi..Vijana wenzangu, Nchimbi siyo mwanasiasa mdogo, msijimalize kwa kuwa mnasaka ugali kwa sasa.
Mnataka kuwafurahisha walio juu sasa hivi, kesho hawatokuwepo. Kumbukeni nyinyi bado ni machalii wadogo, kuna kesho wakuu. Zibeni ndimi zenu, usiku mwema.
Okey nini dogo ?umesha mnawisha shemeji MIKONO?ok. 🐒
Amekuwa Mwenyekiti UVCCM kwa miaka 10 tena kwa mafanikio, Mbunge, Waziri, Katibu Mkuu CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu na NEC kwa zaidi ya miaka 10 na Mwanadiplomasia kwa miaka zaidi ya mitano.
Angalia hata wale Wazee wenye CCM yao wakihojiwa kama wanachangia kwa kuponda, wengine wanakaa kimya.
Macomrade wenzake wa miaka na miaka hawatamtupa , walikuwa nae wakati wa mvua na wakati wa jua, wanasubiri muda muafaka tu.
Watu nchi hii ni WANAFIKI BALAA....Hivi mtu kama Bashungwa anaweza kusema kosa la Nchimbi ni lipi??? au yeye na Nchimbi nani hasa mwana CCM wa kweli"
Kiumri ni membe lakini kisiasa ni nchimbiNchimbi na Membe unafikiri nani alikua mkubwa?
Uroho wa madarka unamsumbuaWatu nchi hii ni WANAFIKI BALAA....Hivi mtu kama Bashungwa anaweza kusema kosa la Nchimbi ni lipi??? au yeye na Nchimbi nani hasa mwana CCM wa kweli"
naona wameshabikia sanaaaWanajisahau kuwa Nchimbi aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA NA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA