Suala la Paulina Gekul lishughulikiwe kwa busara kubwa naona taratibu limeanza kuibua mijadala ya udini mitandaoni

Wanaoibua hiyo mijadala ya kidini ni wapuuzi kama wapuuzi wengine tu. Miafrika sijui ililaaniwa laana ya namna gani. Akili duni, fikira duni ila kutwa kujifanya inajua dini zilizowaletea ukoloni na kuwafanya kuwa watumwa.
Usiseme miafrika, sema miarabu ya Mkundugeni na huko Dongobeshi. Eti msomi na mwanazuoni ndio kipoozeo, sharrif majini na Mazinge. Yaani kosa la mtu dhidi ya mwenzie inaingizwa kidini. Ingekuwa ustaadh kamfirq dogo hapo madrasa usingeyasikia yanalalamika kwani ingekuwa issue binafsi. Ukitaka kuona ni watu wa namna gani, angalia uwasilishaji wa hoja humu JF utatamani utapike. Mapumbavu kabisa, ndio maana yanamchukia kitimoto sababu anawazidi IQ.
 

wewe jamaa ni mpuuzi na juha sana
 
Walikufanyia nini binadamu wenzako mbona unawachukia hivyo?
 
Miarabu na mizungu/miyahudi ya katesh
 
Chai
 
Nashangaa bado hajavuliwa Ubunge 🤔

Ila fresh! Sina jeuri ya kumpangia mkuu wa Kaya nini cha kufanya. Muda utasema 👍🏾
Ubunge hakuna kongozi anaeweza kumvua, hawana mamlaka hayo!
Labda ushangae kwa nini hajavuliwa uanachama wa chama cha mapinduzi mpaka sasa.
Hicho ndicho kitakachoweza kumvua ubunge.
 
Mbona hili lilionekana mapema sana
 
Kuna kijana anaitwa Michael naye walidhalilishwa pamoja na huyo Muhammad na sisi Wakristo tucharuke hapo.
 

wewe ndio mchochezi waislamu hawana habari na jambo hilo ila umeamua kulianzisha mbwa wewe
 

wewe kama mwanaume kweli nenda karibu na msikiti useme hayo unayoyasema kwa waislamu uje na watu wako kama hukumtoa papa nyuma ya makalio, mnawatukana waislamu mtandaoni nende face to face ndio utajua hujui **** wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…