Suala la Polepole linadhihirisha hata Rais afanye nini ni vigumu kuwavutia team Magufuli

Watajuana wenyewe hata wakikatana mapanga
 
Ombi la mkubwa wako wa Kazi NI amri
haipo hivyo. Katiba inasemaje? Nyie ndo huwa mnaburuzwa sababu ya kutokujua Katiba inasemaje. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. Suala la Afya ni la Mtu binafsi. Amri inakuwa kwenu msio na Elimu,uwezo mzuri,msiojielewa na msio na misimamo. Na hili suala la chanjo hata Rais alisema ni Hiyari. Sasa ninyi ambacho hamwelewi ni nini? Na kama ni hiyari pia mtu anaweza sema Nachanja au Sichanji. Shida ipo wapi? Msiwe kama Nyumbu
 
Your perceptions,over!
 
Nchi imewashinda kuitawala, uchumi wenu umejaa dhuruma na tozo. Mauaji kila kukicha , bora Magufuli baba wa wanyonge na machinga.
 
Nchi imewashinda kuitawala, uchumi wenu umejaa dhuruma na tozo. Mauaji kila kukicha , bora Magufuli baba wa wanyonge na machinga.
Mwigulu anasema wanakuja na tozo kwa makampuni yanayo simamia internet, google, yahoo etc. Mwigulu ni msomi, lakini nahisi hakuelimika. Hata mwananchi kijijini leo anajua ukiongeza centi yoyote kwenye budget anailipa ni mtumiaji wa mwisho. Lakini anaongea bila kupepesa macho kuwa watu wataona serikali inatafuta mapato kupitia makampuni makubwa. Upuuzi.
 
Baba Askofu Benson Lwakalinda Bagonza anauliza

NAOMBA MSAADA

Nahitaji msaada wenu wasomaji wangu:

1. Hivi mwizi akikuibia hela yako halafu akaitumia kukununulia nguo au chakula, kosa la wizi linakuwa limeisha?

2. Mwizi akikuibia shilingi 100 ukapiga kelele akakurudishia 30 na kubaki na 70, unapaswa kumshukuru kuwa ni mwema?

3. Na kiongozi wako akikukuta unafanya biashara ili upate fedha ya kulipia karo na matibabu, akafunga biashara yako na hela akakunyanganya na kukujengea zahanati na shule, anakuwa amekutendea haki?

TOZO TOZO
LUKU LUKU

VYOTE NI KANDAMIZI. HATULIPI KWA HIARI BALI MNACHUKUA KWA NGUVU. MIILI YETU MNAYO, MIOYO TUMEBAKI NAYO.
 
Unaweza kufatilia anachokisema na kuongea polepole. Hakupinga swala la chanjo Kama chanjo Ila anapingana na selikali yake tu kwa kila kitu.
 
Iko wapi chanjo ya ukimwi? Ugonjwa ambao umekuwepo toka 80's na umewatesa watu wengi sana, imekuwaje ugonjwa hauna hata miaka miwili upate chanjo?
Hivi we uko dunia gani chanjo ya ukimwi hiko stage ya pili kwa kutumia technology ya Mrna kama chanjo za Corona na Pfizer na imeonyesha mafanikio makubwa sana in 2 years to come itakuwa tayari.
Hapo ndio utaona watu walivyo wanafiki kwani itagombewa na wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…