Pozzers
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 337
- 560
Ifikie sehemu ndugu zangu tuheshimu hisia za watu. Ukitaka kila mtu awe upande wako ni ngumu. Mtu akisimama akasema nachanjwa, hakuna wa kumnanga! Shida mtu akitoa uamzi wake kwamba sichanjwi; maneno yanakuwa mengi! Kwa nini lakini! Chanjo ni hiari! Anayesema nachanjwa publicly, na anayesema sichanjwi publicly wote wako sawa na Mama! Ni ujinga kumsema mtu katika hiari aliyoichagua! Ni ujinga kabisa
Yeye ni kiongozi akibaki na msimamo wake ndani na mke wake na watoto wake kuna shida kuliko kujitokeza kifua mbele kwenye jamiii hebu aheshimu utawala huu kama alivyokuwa anasheshimu uliopita.