UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kuna kujifukiza kwa aina tatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kujifukiza kwa aina tatu.
Wangesema Kila mtu achome ingekuwa imeshaisha.Tatizo wengine tunakataliwaHivi hii dozi ya chanjo haijaisha tuu
Ndio saizi yake.Ulitaka ajibiwe na waziriRIP Magufuli,,, yaani Leo Pole Pole ni wa kutukanwa na kile ki ANDUNJE Steve Nyerere public?
Kisa kukataa chanjo?
Kweli dunia inajizungusha kwa kasi sana.
Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia michango yake bungeni pia. Ametumia muda mwingi kutetea mitazamo ya Magufuli kuliko kupigania maswala ya kitaifa.
Uzalendo wa kizamani ni imani mbovu sana inayoingia na kutawala ndani ya roho za watu. Watu uanza kuamini Ngozi yao ni Bora kuliko zingine, Taifa lao ni Bora kuliko mengine, Chama chake ndio sahihi kuliko vingine na Baadae yeye na kiongozi wake ni Bora kuliko wengine.
Imani hii hujenga chuki kubwa Sana kwa mtu mwenye mtazamo tofauti.
Kwa wasiojua historia waambiwe jinsi Ujerumani yenyewe na dunia zilivyoangaika kuitoa Imani Kali ya kidikteta ya Kinazi miaka mingi baadae baada ya kufa muasisi wake Adolf Hitla.
Polepole katumia chanjo kuonesha hisia zake.
Kama kasema tofauti na Raisi wake NI wazi amekusudia kuwaambia watu Raisi wao muongoNadhani na wewe uliyeleta maada ya kumtuhumu Polepole unachuki nae binafsi! Mbona Polepole kaongea mambo mazuri ya msingi, waulize watu aliowahutubia kama kila alichosema sio point
Safi kabisa Polepole una ufahamu mkubwa sana
kaka mtu, Josephine mushumbusi alipoteleaga wapi.Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia michango yake bungeni pia. Ametumia muda mwingi kutetea mitazamo ya Magufuli kuliko kupigania maswala ya kitaifa.
Uzalendo wa kizamani ni imani mbovu sana inayoingia na kutawala ndani ya roho za watu. Watu uanza kuamini Ngozi yao ni Bora kuliko zingine, Taifa lao ni Bora kuliko mengine, Chama chake ndio sahihi kuliko vingine na Baadae yeye na kiongozi wake ni Bora kuliko wengine.
Imani hii hujenga chuki kubwa Sana kwa mtu mwenye mtazamo tofauti.
Kwa wasiojua historia waambiwe jinsi Ujerumani yenyewe na dunia zilivyoangaika kuitoa Imani Kali ya kidikteta ya Kinazi miaka mingi baadae baada ya kufa muasisi wake Adolf Hitla.
Polepole katumia chanjo kuonesha hisia zake.
Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia michango yake bungeni pia. Ametumia muda mwingi kutetea mitazamo ya Magufuli kuliko kupigania maswala ya kitaifa.
Uzalendo wa kizamani ni imani mbovu sana inayoingia na kutawala ndani ya roho za watu. Watu uanza kuamini Ngozi yao ni Bora kuliko zingine, Taifa lao ni Bora kuliko mengine, Chama chake ndio sahihi kuliko vingine na Baadae yeye na kiongozi wake ni Bora kuliko wengine.
Imani hii hujenga chuki kubwa Sana kwa mtu mwenye mtazamo tofauti.
Kwa wasiojua historia waambiwe jinsi Ujerumani yenyewe na dunia zilivyoangaika kuitoa Imani Kali ya kidikteta ya Kinazi miaka mingi baadae baada ya kufa muasisi wake Adolf Hitla.
Polepole katumia chanjo kuonesha hisia zake.
NO Hoja zote acha zisemwe hadharani..kuchanja vs kutochanja.Yeye ni kiongozi akibaki na msimamo wake ndani na mke wake na watoto wake kuna shida kuliko kujitokeza kifua mbele kwenye jamiii hebu aheshimu utawala huu kama alivyokuwa anasheshimu uliopita.
Tumpe pole. Huyo ni yatima. Kila mara anamuwaza na kumuota baba. Kamuacha kwenye baridi.Jiwe alikuwa Boya, Huyu mpemba ndio Nazi mbovu kuliko koroma, Polepole ana yakumbuka Ma V8 tu hana jipya ni mpinzani wa serikali ya kipuuzi kwa kutetea upuuzi uliopita
Ndenda wewe Bungeni ukapiganie maswala ya kitaifaKwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia michango yake bungeni pia. Ametumia muda mwingi kutetea mitazamo ya Magufuli kuliko kupigania maswala ya kitaifa.
Uzalendo wa kizamani ni imani mbovu sana inayoingia na kutawala ndani ya roho za watu. Watu uanza kuamini Ngozi yao ni Bora kuliko zingine, Taifa lao ni Bora kuliko mengine, Chama chake ndio sahihi kuliko vingine na Baadae yeye na kiongozi wake ni Bora kuliko wengine.
Imani hii hujenga chuki kubwa Sana kwa mtu mwenye mtazamo tofauti.
Kwa wasiojua historia waambiwe jinsi Ujerumani yenyewe na dunia zilivyoangaika kuitoa Imani Kali ya kidikteta ya Kinazi miaka mingi baadae baada ya kufa muasisi wake Adolf Hitla.
Polepole katumia chanjo kuonesha hisia zake.
Kamanda, haya mambo ya kukubali kila kitu ndiyo ninyi mnayapigia kelele kila siku kuwa hayafai, sasa kwenye suala ambalo liko wazi kwa mjadala au mawazo tofauti na ya mwenyekiti, nilitegemea watu kama wewe muwe frontline kuyasimamia.Hizi zitakuwa dharau, mbona hakuthubutu kukinzana mawazo na mwenyekiti aliyepita?
Hadi kudundika na kupiga magoti alikuwa anamfuatilizia mwenyekiti.
Angefanya hivyo kwa maswala muhimu mengine sio la chanjo. Tena kwa swala la ujumla sio kuwa kinyume na Kampeni ya Mwenyekiti wakePolepole katumia Haki yake Kikatiba Ibara ya 18. Kwa nini unataka naye awe likondoo kama wewe? Duniani huwezi pendwa na watu wote sababu hata Magufuli alipingwa na watu wa awamu ya 4. Ni kawaida. Tu concentrate kwenye yanayofaa na ya msingi
Mwenyekiti si kasema ni Hiyari? Unafahamu maana ya hiyari? Kama kwenda kufanya jambo flani ni hiyari maana yake unaweza kufanya au kutofanya.Angefanya hivyo kwa maswala muhimu mengine sio la chanjo. Tena kwa swala la ujumla sio kuwa kinyume na Kampeni ya Mwenyekiti wake
Ombi la mkubwa wako wa Kazi NI amriMwenyekiti si kasema ni Hiyari? Unafahamu maana ya hiyari? Kama kwenda kufanya jambo flani ni hiyari maana yake unaweza kufanya au kutofanya.
Lakini huwezi mchagulia maamuzi.ametimiza jambo la muhimu kwake kusema yeye hatochanja. Wewe kama unataka nenda kachanje hajakukataza. Msimpangie mtu maisha. Ni wendawazimu kutaka kila mtu awaze kama wewe. Acha watu wawe huru.mwenyekiti wake siyo Mungu