Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Mimi teyari nina kinga ya korona (antibodies) nilizozipata baada ya kuishinda mwaka jana, Mwenyezi Mungu ahimidiwe.Kwa hiyo wewe unajifukiza???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi teyari nina kinga ya korona (antibodies) nilizozipata baada ya kuishinda mwaka jana, Mwenyezi Mungu ahimidiwe.Kwa hiyo wewe unajifukiza???
Ni lini utaihimiza serikali itenge bajetii ya kusaidia wataalamu wetu wa kisayansi watengeneze chanjo hapa nchini kukaabili magonjwa yanayotusumbua!? Mheshimiwa Raisi rais wa Iran amechanjwa chanjo iliyotengenezwa na raia wake jana.Kwenye swala la chanjo polepole Hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka NI kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia michango yake bungeni pia. Ametumia muda mwingi kutetea mitazamo ya Magufuli kuliko kupigania maswala ya kitaifa.
Watu wanaoacha kuamini facts, taaluma na kufuata uganga akili huwa zimevia ubishi, chuki na kisasi.Kwenye swala la chanjo polepole Hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka NI kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia michango yake bungeni pia. Ametumia muda mwingi kutetea mitazamo ya Magufuli kuliko kupigania maswala ya kitaifa.
Uzalendo wa kizAmani NI Imani mbovu Sana inayoingia na kutawala ndani ya roho za watu. Watu uanza kuamini Ngozi yao NI Bora kuliko zingine, Taifa lao NI Bora kuliko mengine, Chama chake ndio sahihi kuliko vingine na Baadae yeye na kiongozi wake NI Bora kuliko wengine. Imani hii hujenga chuki kubwa Sana kwa mtu mwenye mtazamo tofauti.
Kwa wasiojua historia waambiwe jinsi Ujerumani yenyewe na dunia zilivyoangaika kuitoa Imani Kali ya kidicteta ya Kinazi miaka mingi baadae baada ya kufa muasisi wake Aldof Hitra.
Polepole katumia chanjo kuonesha hisia zake.
Tatizo la "wataalamu/wabobezi" weetu si wagunduzi, wanasubiri ku-copy na ku-paste kutoka kwa mabeberu, ndiyo maana chanjo za magonjwa ambayo hayawasumbui mabeberu kama ukimwi, malaria etc hayana chanjo mpaka leo. Wanashangaa kama tunavyo shangaa sisi tulioishia shul ya kata kuwa kwa nini chanjo ya korona imepatikana ndani ya muda mfupi. Hawatuambii kuwa tusubiria wanayotutengenezea na itakuwa tayari lini ili tusipapatikie chanjo ya kuletwa.Ni lini utaihimiza serikali itenge bajetii ya kusaidia wataalamu wetu wa kisayansi watengeneze chanjo hapa nchini kukaabili magonjwa yanayotusumbua!? Mheshimiwa Raisi rais wa Iran amechanjwa chanjo iliyotengenezwa na raia wake jana.
Nina imani na Mama atawawezesha wataalamu wetu watuwezeshe watanzania kujitegemea katika masuala mbalimbali likiwemo hili la masuala ya utabibu.
Acha uongo CCM haijawahi kuwa ya kijamaa ni misimamo ya mwalimu tu ndiye aliyekua mjamaa CCM imejaa wachumia tumbo na mabwanyenye wanaotetea maslahi yao binafsi zaidi kuliko maslahi ya nchi ndio maana karibu miaka 60 ya uhuru lakini UMASIKINI, ujinga na maradhi imekua ni mtaji wa CCM kuendelea kubaki madarakaniCCM ni moja.....
Ndg.yetu Kamarada Polepole tunamkumbusha kuwa AIHESHIMU SERIKALI KAMA ALIVYOIHESHIMU AWAMU YA 5......
Polepole anajua....
Polepole hajasahau kuwa CCM ni chama cha kijamaa na si cha kiliberali.....MWENYEKITI NI KIOO CHETU.....
#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaCCM
#MwenyekitiWaCCMNiKiooChetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jiwe alikuwa Boya, Huyu mpemba ndio Nazi mbovu kuliko koroma, Polepole ana yakumbuka Ma V8 tu hana jipya ni mpinzani wa serikali ya kipuuzi kwa kutetea upuuzi uliopita
Ifikie sehemu ndugu zangu tuheshimu hisia za watu. Ukitaka kila mtu awe upande wako ni ngumu. Mtu akisimama akasema nachanjwa, hakuna wa kumnanga! Shida mtu akitoa uamzi wake kwamba sichanjwi; maneno yanakuwa mengi! Kwa nini lakini! Chanjo ni hiari! Anayesema nachanjwa publicly, na anayesema sichanjwi publicly wote wako sawa na Mama! Ni ujinga kumsema mtu katika hiari aliyoichagua! Ni ujinga kabisaKwa kifupi unasemaje?Jiwe alikuwa Boya, Huyu mpemba ndio Nazi mbovu kuliko koroma, Polepole ana yakumbuka Ma V8 tu hana jipya ni mpinzani wa serikali ya kipuuzi kwa kutetea upuuzi uliopita
Asante sana, Mkuu.Wanashangaa kama tunavyo shangaa sisi tulioishia shul ya kata kuwa kwa nini chanjo ya korona imepatikana ndani ya muda mfupi. Hawatuambii kuwa tusubiria wanayotutengenezea na itakuwa tayari lini ili tusipapatikie chanjo ya kuletwa.
Mwenzie Magufuli alitumia ubabe kuzima Timu nyingine.Samia sijui atatumia mbinu gani.Ila nikikumbuka ya Lowassa na Kikwete,nawaonea huruma Timu Magufuli.Wamejiexpose system inawazoom tuKwenye swala la chanjo polepole Hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka NI kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia michango yake bungeni pia. Ametumia muda mwingi kutetea mitazamo ya Magufuli kuliko kupigania maswala ya kitaifa.
Uzalendo wa kizAmani NI Imani mbovu Sana inayoingia na kutawala ndani ya roho za watu. Watu uanza kuamini Ngozi yao NI Bora kuliko zingine, Taifa lao NI Bora kuliko mengine, Chama chake ndio sahihi kuliko vingine na Baadae yeye na kiongozi wake NI Bora kuliko wengine. Imani hii hujenga chuki kubwa Sana kwa mtu mwenye mtazamo tofauti.
Kwa wasiojua historia waambiwe jinsi Ujerumani yenyewe na dunia zilivyoangaika kuitoa Imani Kali ya kidicteta ya Kinazi miaka mingi baadae baada ya kufa muasisi wake Aldof Hitra.
Polepole katumia chanjo kuonesha hisia zake.
Atachanjwa Ni suala la muda tu
Kwani mwaka Jana ulipata Corona?Mimi teyari nina kinga ya korona (antibodies) nilizozipata baada ya kuishinda mwaka jana, Mwenyezi Mungu ahimidiwe.
Afe na yeye amfuate diktetaKwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia michango yake bungeni pia. Ametumia muda mwingi kutetea mitazamo ya Magufuli kuliko kupigania maswala ya kitaifa.
Uzalendo wa kizamani ni imani mbovu sana inayoingia na kutawala ndani ya roho za watu. Watu uanza kuamini Ngozi yao ni Bora kuliko zingine, Taifa lao ni Bora kuliko mengine, Chama chake ndio sahihi kuliko vingine na Baadae yeye na kiongozi wake ni Bora kuliko wengine.
Imani hii hujenga chuki kubwa Sana kwa mtu mwenye mtazamo tofauti.
Kwa wasiojua historia waambiwe jinsi Ujerumani yenyewe na dunia zilivyoangaika kuitoa Imani Kali ya kidikteta ya Kinazi miaka mingi baadae baada ya kufa muasisi wake Adolf Hitla.
Polepole katumia chanjo kuonesha hisia zake.
Umenena maana hataweza kusafiri kwenda njeAtachanjwa Ni suala la muda tu