Suala la Q Chila na madhara ya kupiga ramli

Funguka kaboneke
Q amezaa Sana mademu wengi wanaofanya Biashara hii ya kutoa 017 HIV unafikiri hata angekuwa na bil 1 angepona vipi pasipo self control na kwa bahati hiyo self control Hana huyo Q.
 
Mungi fundi sana hata wewe upo njia mmoja kama mimi vile ,

Kumbuka Kila nafsi itaonja mauti,

au wewe unafikiri utakaa mpaka Yesu arudi.
Ntaenda lakini bila malalamiko dhidi ya utu.au kuna mahali kuna nukta au neno liloonesha mimi sitokwenda kufani.
 
Q amezaa Sana mademu wengi wanaofanya Biashara hii ya kutoa 017 HIV unafikiri hata angekuwa na bil 1 angepona vipi pasipo self control na kwa bahati hiyo self control Hana huyo Q.
Aisee ndo maana mabaga waliwahi kuimba ukiwa muhongaji sana ukawii kulost
 
Matumizi ya dawa za kulevya matokeo yake mara nyingi yanakuwa hasi.

Nilifuatilia historia ya Whitney Houston, pamoja mafanikio yake makubwa sana kimuziki lakini matumizi makubwa ya dawa za kulevya yalimharibia maisha kiasi cha kusababisha kifo chake. Alifia bafuni akiwa hotelini baada ya kutumia dawa za kulevya akazidiwa.
 
Sana ni hatari sana
 
Safi mkuu, siku andika kuhusu Chid Benz iwapo unajua mapito yake.
 
Mkuu ungetufafanulia na sisi watu wazima Huyo Q Chilla ni nani au maana yake nini? Maana vijana mna lugha za kificho sana. Umeelezea kama sote hadi Sisi tunamfahamu huyo jamaa yako. Anahusika na nini?
 
Kuhusu kurogwa na Diamond hilo namuunga mkono. Kwasababu Diamond alimroga Michael Jackson akafa, baadae akamroga R. Kelly akafungwa jela, sasa hivi kamroga Hermonize kaachwa na Kajala kabaki kuvuta bangi tu kama chizi. Ndio maana Ali Kiba hataki kumpa mkono anaogopa kuibiwa nyota na mbalamwezi zake. Hoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…