Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Miaka hiyo nlikuwa busy na mapambano ya kisiasa. Toka 1990s nikiwa na akina James Mapalala, Mabere Marando baadaye, Mrema n.kHuwez kuwa serious, hakuna namna nyingine ya kumwelezea q chilla , tofauti na alivo elezea mtoa mada . Muzic wa bongo fleva kama hukuufuatilia miaka ya 2000's .. kuendelea Basi apa utatoka mtupu