mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
ukiamua kuacha kazi ukiwa 40yrs kuna mtu atakulazimisha uendelee? Ukiamua kubadili mazingira uende sehemu ambayo unaitaka hata kama mshahara mdogo kuna mtu atakushikia panga?Amestaafu wakati ndo kwanza yupo 45 ?!
View attachment 2748261