Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

Ukishuka kwenye range ukapanda passo lazma utushangaze wapenzi watazamaji [emoji16]
Amefanya kazi muda mrefu under pressure halafu nje ya nchi ambako kuna tamaduni na desturi tofauti. Kuna wakati binadamu anahitaji kupumzisha ubongo kwa baadhi ya mambo. Angetoka BBC akaenda CNN demand yao kwa mwajiriwa ni ileile. Kikeke yuko kwenye 50s acha afanye kazi na majizo huku akiwa na uhuru mwingi wa kuzeeka vizuri.
 
Hakika. Tena wachawi sana, yaani wanampangia mtu life lake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…