Suala la Simba kuzindua jezi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro sio suala la kimichezo ila ni la kiroho litakaloathiri sana siasa za Taifa letu

Una hoja japo sijaelewa Simba kama timu ya Mpira tena inaongozwa na wahuni na wachawi italeta influence gani kiroho kwenye nchi iliyo na watu wasiopenda hiyo timu(Mashabiki wa Yanga na timu nyingine), wasiofuatilia mpira wala kujifungamanisha na katimu ka mpira ? Hapa mzee buji umetudanganya
 
Sema swala la viongozi wa simba kufeli kufika kileleni na kuwaachia wabeba mizigo waende nazo lazima liighalimu sema kiroho
 
Hao watu wa Team ya Simba wamepanda kwa malengo yapi?
Je wametoa sadaka/kafara?
Kuna agano walilofanya?
Wazo la kwenda kileleni wamelipata kwa kiongozi wa kiroho au kwa watu wa kibiashara na burudani tu?
 
Sijakuelewa ulichoandika licha ya kuwa Kinasomeka. Life is Good bt is too short. Respect others Idea
 
Hawa paka wanaoroga viwanja vya watu Kwa kuchoma moto hadharani au wengine!?
 
Waswahili husema :-
  • Lisemwalo lipo, kama halipo laja.
  • Hakuna marefu yasiyo na ncha
Ulichoongea umekosea kwenye conclusion

Hiyo.kiroho ina maana eatu wengi wataacha dini watakuwa wapenda mpira sana kuliko dini

Muungano hauvunjiki sababu hiyo bendera kuwekwa killeleni kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…