🤣🤣Unayafahamu maisha ya Simba lakini? Sio marahisi hata kidogo
Haya mkuu! Ngoja tusubiri na tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Unayafahamu maisha ya Simba lakini? Sio marahisi hata kidogo
Ule mwenge ulishazimika zamani kwa sababu ya baridi na barafu kule juu, kama siyo kwa kuishiwa mafuta!Tulipandisha mwenge ili umulike mpaka nje ya mipaka yetu. Tulipandisha mwenge Mlima Kilimanjaro ili ulete amani palipo na chuki, ulete tumaini pasipo na tumaini.
Upo kwa wifi yako mnagombea kibao cha kukunia nazi na wifi yako alafu unajiona mjanja na kuandika upuuzi. Unajua kikinuka wewe?Wacha kinuke tu, hatari kitu gani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Upo kwa wifi yako mnagombea kibao cha kukunia nazi na wifi yako alafu unajiona mjanja na kuandika upuuzi. Unajua kikinuka wewe?
Usicheke mkuu. Hawa mashujaa wa FAKE ID ni kuwakazia tu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kivipi?Sema swala la viongozi wa simba kufeli kufika kileleni na kuwaachia wabeba mizigo waende nazo lazima liighalimu sema kiroho
Kwani hujui walitepeta njiani na wakawaachia kibegi wapanda mlima Kilimanjaro wakakipeleka kileleni?Kivipi?
🤣🤣🤣Usicheke mkuu. Hawa mashujaa wa FAKE ID ni kuwakazia tu.
Wasalaam.
Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes.
Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro na kupelekea kilele hicho kuitwa Uhuru Peak.
Lile lilikuwa na sura ya kusherehesha sherehe za uhuru. Tulipandisha mwenge ili umulike mpaka nje ya mipaka yetu. Tulipandisha mwenge Mlima Kilimanjaro ili ulete amani palipo na chuki, ulete tumaini pasipo na tumaini. Jiulize mwenge unawezaje kuleta amani na tumaini?
Kumbe kwenye ulimwengu wa kiroho mwenge ulikuwa na lengo la kupumbaza na kufubaza fiķra za wengi.
Wakikandamizwa waone sawa tu, wakiburuzwa na kuonewa waone sawa tu, yaani wayapuuzie matatizo yao. Kwa njia hiyo tu ndio amani na utulivu vitapatikana.
Mwaka 1964 tulipoungana na Zanzibar hatukupandisha mwenge wala bendera, Tanganyika ikafa kimyakimya.
Tumepita kwenye misukosuko ya kila namna, furaha na vicheko hatimaye umefika mwaka 2023.
Simba ambaye ni mfalme wa nyika kapanda kwenye kilele. Kaenda kuweka bendera yake nyekundu kule kileleni.
Nyirenda mwaka 1961 aliweka bendera yenye rangi ya kijani, njano na nyeusi, utawala wa twiga mnyama mrembo lakini goigoi akatawala kuanzia hapo. Wote tumesguhudia jinsi taifa letu lilivyo na watu wavivu na goigoi, hadi wawekezaji wanasema hawataki kufanya kazi na Watanzania kwani hawataki kufànya kazi kwa bidii ila wanataka wakuibie.
Kwa ujio huu mpya kiroho, uelekeo wa kitaifa unabadilika. Spirit ya mapàmbano imetamalaki.
Sasa pale kileleni ni pekundu na pana Simba mfalme wa nyika. Tutaziona rangi zote.
Mabadiliko makubwa sana yanakuja kwenye siasa zetu na uongozi kwa ujumla, mabadiliko haya mtaanza kuyaona siku sio nyingi.
Wenye macho ya rohoni tumeona.
Gwappo Mwakatobe , Mshana Jr, Pascal Mayalla , Rakims
Nani alikwambia mpira ni burudani? Mpira ni ibadaHao watu wa Team ya Simba wamepanda kwa malengo yapi?
Je wametoa sadaka/kafara?
Kuna agano walilofanya?
Wazo la kwenda kileleni wamelipata kwa kiongozi wa kiroho au kwa watu wa kibiashara na burudani tu?
Sasa kuna athari gani kiroho?Kwani hujui walitepeta njiani na wakawaachia kibegi wapanda mlima Kilimanjaro wakakipeleka kileleni?
Kwa kuwa wameanza na kufeli basi wataendelea na kufeliSasa kuna athari gani kiroho?
Sijakuelewa ulichoandika licha ya kuwa Kinasomeka. Life is Good bt is too short. Respect others IdeaWasalaam.
Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes.
Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro na kupelekea kilele hicho kuitwa Uhuru Peak.
Lile lilikuwa na sura ya kusherehesha sherehe za uhuru. Tulipandisha mwenge ili umulike mpaka nje ya mipaka yetu. Tulipandisha mwenge Mlima Kilimanjaro ili ulete amani palipo na chuki, ulete tumaini pasipo na tumaini. Jiulize mwenge unawezaje kuleta amani na tumaini?
Kumbe kwenye ulimwengu wa kiroho mwenge ulikuwa na lengo la kupumbaza na kufubaza fiķra za wengi.
Wakikandamizwa waone sawa tu, wakiburuzwa na kuonewa waone sawa tu, yaani wayapuuzie matatizo yao. Kwa njia hiyo tu ndio amani na utulivu vitapatikana.
Mwaka 1964 tulipoungana na Zanzibar hatukupandisha mwenge wala bendera, Tanganyika ikafa kimyakimya.
Tumepita kwenye misukosuko ya kila namna, furaha na vicheko hatimaye umefika mwaka 2023.
Simba ambaye ni mfalme wa nyika kapanda kwenye kilele. Kaenda kuweka bendera yake nyekundu kule kileleni.
Nyirenda mwaka 1961 aliweka bendera yenye rangi ya kijani, njano na nyeusi, utawala wa twiga mnyama mrembo lakini goigoi akatawala kuanzia hapo. Wote tumesguhudia jinsi taifa letu lilivyo na watu wavivu na goigoi, hadi wawekezaji wanasema hawataki kufanya kazi na Watanzania kwani hawataki kufànya kazi kwa bidii ila wanataka wakuibie.
Kwa ujio huu mpya kiroho, uelekeo wa kitaifa unabadilika. Spirit ya mapàmbano imetamalaki.
Sasa pale kileleni ni pekundu na pana Simba mfalme wa nyika. Tutaziona rangi zote.
Mabadiliko makubwa sana yanakuja kwenye siasa zetu na uongozi kwa ujumla, mabadiliko haya mtaanza kuyaona siku sio nyingi.
Wenye macho ya rohoni tumeona.
Gwappo Mwakatobe , Mshana Jr, Pascal Mayalla , Rakims
Hawa paka wanaoroga viwanja vya watu Kwa kuchoma moto hadharani au wengine!?Wasalaam.

Kama ni hivi basi sawaAsante kwa kunielewa vyema
Nani alikwambia mpira ni burudani? Mpira ni ibada
Tùtayaona mengi, hamna rangi tutaacha kuonaMkuu nikiangazia bandiko lako Simba ki asili ilikua timu ya waarabu ndio kusema kwamba kupandisha bendera yao pale Kibo ni mwanzo wa utawala wa kiarabu/kisultani katika ardhi ya Tanganyika?
Ulichoongea umekosea kwenye conclusionWaswahili husema :-
- Lisemwalo lipo, kama halipo laja.
- Hakuna marefu yasiyo na ncha