Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Kuna watu wanaandika Tuendelee kusubiri mazuri yajja hii kauli na Huo mwenge wa kupumbaza mbona baba Mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Strong exist, Simba dume kama alivyokwenye logo ya club, iliutawale inakubidi uwe imala, ukiwa legelege au kupoteza uimala wako unapinduliwa.Unayafahamu maisha ya Simba lakini? Sio marahisi hata kidogo
Wasalaam.
Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes.
Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro na kupelekea kilele hicho kuitwa Uhuru Peak.
Lile lilikuwa na sura ya kusherehesha sherehe za uhuru. Tulipandisha mwenge ili umulike mpaka nje ya mipaka yetu. Tulipandisha mwenge Mlima Kilimanjaro ili ulete amani palipo na chuki, ulete tumaini pasipo na tumaini. Jiulize mwenge unawezaje kuleta amani na tumaini?
Kumbe kwenye ulimwengu wa kiroho mwenge ulikuwa na lengo la kupumbaza na kufubaza fiķra za wengi.
Wakikandamizwa waone sawa tu, wakiburuzwa na kuonewa waone sawa tu, yaani wayapuuzie matatizo yao. Kwa njia hiyo tu ndio amani na utulivu vitapatikana.
Mwaka 1964 tulipoungana na Zanzibar hatukupandisha mwenge wala bendera, Tanganyika ikafa kimyakimya.
Tumepita kwenye misukosuko ya kila namna, furaha na vicheko hatimaye umefika mwaka 2023.
Simba ambaye ni mfalme wa nyika kapanda kwenye kilele. Kaenda kuweka bendera yake nyekundu kule kileleni.
Nyirenda mwaka 1961 aliweka bendera yenye rangi ya kijani, njano na nyeusi, utawala wa twiga mnyama mrembo lakini goigoi akatawala kuanzia hapo. Wote tumesguhudia jinsi taifa letu lilivyo na watu wavivu na goigoi, hadi wawekezaji wanasema hawataki kufanya kazi na Watanzania kwani hawataki kufànya kazi kwa bidii ila wanataka wakuibie.
Kwa ujio huu mpya kiroho, uelekeo wa kitaifa unabadilika. Spirit ya mapàmbano imetamalaki.
Sasa pale kileleni ni pekundu na pana Simba mfalme wa nyika. Tutaziona rangi zote.
Mabadiliko makubwa sana yanakuja kwenye siasa zetu na uongozi kwa ujumla, mabadiliko haya mtaanza kuyaona siku sio nyingi.
Wenye macho ya rohoni tumeona.
Gwappo Mwakatobe , Mshana Jr, Pascal Mayalla , Rakims
utakua umeshukiwa na roho mtakatifu.Wasalaam.

Aminautakua umeshukiwa na roho mtakatifu.
Ninaunganisha tukio hili au maneno haya na baadhi ya watu walioibuka ghafla na ujairi wa ajabu.Nimesoma, imenifungua fahamu zangu parefu.
Sasa ifike mahali na huo mwenge tukautose kwenye bahari kwenye kina kirefu, umetutesa sana
Wasalaam.
Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes.
Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro na kupelekea kilele hicho kuitwa Uhuru Peak.
Lile lilikuwa na sura ya kusherehesha sherehe za uhuru. Tulipandisha mwenge ili umulike mpaka nje ya mipaka yetu. Tulipandisha mwenge Mlima Kilimanjaro ili ulete amani palipo na chuki, ulete tumaini pasipo na tumaini. Jiulize mwenge unawezaje kuleta amani na tumaini?
Kumbe kwenye ulimwengu wa kiroho mwenge ulikuwa na lengo la kupumbaza na kufubaza fiķra za wengi.
Wakikandamizwa waone sawa tu, wakiburuzwa na kuonewa waone sawa tu, yaani wayapuuzie matatizo yao. Kwa njia hiyo tu ndio amani na utulivu vitapatikana.
Mwaka 1964 tulipoungana na Zanzibar hatukupandisha mwenge wala bendera, Tanganyika ikafa kimyakimya.
Tumepita kwenye misukosuko ya kila namna, furaha na vicheko hatimaye umefika mwaka 2023.
Simba ambaye ni mfalme wa nyika kapanda kwenye kilele. Kaenda kuweka bendera yake nyekundu kule kileleni.
Nyirenda mwaka 1961 aliweka bendera yenye rangi ya kijani, njano na nyeusi, utawala wa twiga mnyama mrembo lakini goigoi akatawala kuanzia hapo. Wote tumesguhudia jinsi taifa letu lilivyo na watu wavivu na goigoi, hadi wawekezaji wanasema hawataki kufanya kazi na Watanzania kwani hawataki kufànya kazi kwa bidii ila wanataka wakuibie.
Kwa ujio huu mpya kiroho, uelekeo wa kitaifa unabadilika. Spirit ya mapàmbano imetamalaki.
Sasa pale kileleni ni pekundu na pana Simba mfalme wa nyika. Tutaziona rangi zote.
Mabadiliko makubwa sana yanakuja kwenye siasa zetu na uongozi kwa ujumla, mabadiliko haya mtaanza kuyaona siku sio nyingi.
Wenye macho ya rohoni tumeona.
Gwappo Mwakatobe , Mshana Jr, Pascal Mayalla , Rakims
Kumbe elimu yetu haijatusaidia lolote. Wasomi wetu bado wanawaza kama wajima tu.Wasalaam.

Saa hizi hata mimi siogopi kituNinaunganisha tukio hili au maneno haya na baadhi ya watu walioibuka ghafla na ujairi wa ajabu.
Leo nilikuwa ninamsikiloza Mwambukusi nimeypenda ujasiri wake, natamani roho hiyo iambukizwe kwa vijana wa Kitanzania
Unamfahamu Nostradamus?Kumbe elimu yetu haijatusaidia lolote. Wasomi wetu bado wanawaza kama wajima tu.
Elimu ni nini?Kumbe elimu yetu haijatusaidia lolote. Wasomi wetu bado wanawaza kama wajima tu.
Huyu ambaye analeta ushindani wa aina yake?Maka Samia huyo, The Mother of Modern Tanzania, anawageuza watu kuwa waganga wa kienyeji kwa kasi yake ya kimaendeleo, kwa kasi yake ya maono ya kiuchumi, kwa mbinu zake murua za kuwapiga 'bani' wezi.
Go Mama Samia, gooooooo!!!
Lipo juu mno ya uwezo wako kichwani uliojengwa kwa ugali na dagaa wakavu tangu utotoni. Utaelewa with time, kama watu wanafundisha matahira na wakaelewa sidhani kama watakushindwa wewe!!Huyu ambaye analeta ushindani wa aina yake?
CHIEF MANGUNGO VS CHIEF HANGAYA.
Ila Hangaya ameshinda kwa kweli, yaani pamoja na kuwa katika modern world huku akiwa kazungukwa na washauri na wataalamu wabobezi lakini anatoka na mikataba ya hovyo kuliko mwenzake Mangungo?
Kuwa mwanaccm kindaki ndaki lazima uwe mjinga huku ukijidhania una uelewa wa juu sana!Lipo juu mno ya uwezo wako kichwani uliojengwa kwa ugali na dagaa wakavu tangu utotoni. Utaelewa with time, kama watu wanafundisha matahira na wakaelewa sidhani kama watakushindwa wewe!!
Daah kumbe wote machifu?Huyu ambaye analeta ushindani wa aina yake?
CHIEF MANGUNGO VS CHIEF HANGAYA.
Ila Hangaya ameshinda kwa kweli, yaani pamoja na kuwa katika modern world huku akiwa kazungukwa na washauri na wataalamu wabobezi lakini anatoka na mikataba ya hovyo kuliko mwenzake Mangungo?
Bibi FaizaFoxyKuwa mwanaccm kindaki ndaki lazima uwe mjinga huku ukijidhania una uelewa wa juu sana!
No wonder mnaambiwa haya na mnashangilia.
View attachment 2697435
Hata wewe ukitaka unapewa ardhi tele TzaUmesikia huko kuna mzungu kapewa heka million sita, hivi Usalama wa Taifa ndio wasaidizi wa mama chausiku katika kuuza ardhi ya Tanganyika?
Nenda shule urudiWasalaam.