Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Wakuu salam,
Hoja za Ushoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja ni jambo sensitive sana hasa kwenye jamii zetu za Africa.
Tusichoelewa ni kwamba watea wetu wana nguvu sana na ni moja ya ajenda kubwa sana kwenye mikutano ya wakubwa huko duniani.
Jambo hili la ushoga sio jipya hapa duniani ni la zamani lakini stage iliyopo ni legalization and inclusion of LGBTQS kwenye jamii zetu bila kuficha ikiwemo promotion.
Jicho la tatu ni kwamba nawapa tu mipango na nguvu za hawa watu na nyie mjipime.
1. Mashirika(NGO) kumi yasio ya kiserikali uanayo advocate choice kwa mwaka jana pekee yalipokea funding si chini ya 300B, moja ya element ilikuwa ku advocate issue za " ushoga"
2. Sitting board of Directors wa NGOs hizo ni wake wa viongozi wakubwa wastaafu nchini.
3. Nchi zote tunazopokea funding kutoka kwao wameshahalalisha ndoa za jinsia moja.
Nini kinafuata?
1. Funding zote za elimu lazima ziwe na element ya inclusion of LGBTQS rights.
2. Reviews ya National Examinations nchi nzima itaanza na ili upate funding lazima hiyo element iwe imejumuishwa.
3. Funding za mirad ya Afya na bima ya afya lazima zitambue without exclusion watu wa LGBTQs bila ubaguzi.
4. Kufikia Q3 kuna funding inakuja kwa ajili ya Ku support advancing LGBTQs and development, na ni pesa mingi.
5. Support and Value clarification to Religious leaders.. hii ni pesa inaenda kwa Watumish wenye ushawishi, kupata uelewa na kusaidia ku influence LGBTQS rights.
6. Support for endorsement kwenye siasa, na hapa itakuja funding ya kutosha kwa social media influenciers kwa ajili hiyo.
Wafadhili wakubwa wanajulikana, ni our development partners...
Labda tunyamaze mazima au tuangalie tu mambo yanavyoenda, tulinde watoto
Sababu za yote haya ni pamoja na kusaidia sana kwenye population controls na experts wa Social marketing wanasema hata Reproductive pills iliyoandaliwa kwa ajili ya wanaume watu weusi hawatakula, itakuwa na ugum sana kuingiza sokoni kwa sabab ya cultural diffrence, still advocating LGBTQS is the choice to go.
Watafiq.