Suala la ushoga msinyamaze, ila mtesi wenu ana nguvu kuliko mnavyofikiri, mipango ipo hivi...

Suala la ushoga msinyamaze, ila mtesi wenu ana nguvu kuliko mnavyofikiri, mipango ipo hivi...

Mm kwa mawazo yangu naona hii kitu tunavozid ijadili ndy inavyozid kuwa kubwa na kutrend Bora kuacha kuizungumzia na tugeukie kuwalinda watoto wetu kimaadili na kivyovyote ili wasiweze kuingia kwenye huu ufurauni
Naamini Kila mmja wetu akifanya hii njia kuzuia kwanzia huku chini kuwalinda na kuwalea kwenye maadili yenye misingi watoto wetu na tuwe nao mda mwng maana unakuta mzaz anaonana na mtoto asubuh na usiku tu hajui mchana wote mtot alku kwny hal gan
Tutalishinda hili au litapungua kwa kiasi kikubwa.
Na kingine wanawake punguzeni kuchuna na kubana tundu mpe mwenza wako si amekupenda kwajili ya hiko kitu bhana mpatie bila kujali nn wala nn .
 
WANAO AMUA UELEKEO WA DUNIA, TAYARI WALIKWISHA AMUA HAYA MIAKA 100 ILIYOPITA.
HAPA NYUMBANI, TAYARI WAMEPENYEZA WATU WAO KULE ZINAKO TUNGWA SHERIA.
WAKALA WAO JUZI JUZI KAPEWA UDAKTARI WA HESHIMA.
KWA KUWA KIONGOZI WA KUNDI KUBWA LA MUZIKI LENYE KUHAMASISHA USHOGA NA MASHOGA KWENYE KILA MAJUKWAA YAO.
MIAKA YA 1990 WALILETA HOJA ZA USAWA WA WATUNGA SHERIA KWENYE LILE JUMBA, KWAMBA UWINGI WA WANAWAKE KULE NDIO URAHISI WA KUPITISHA HIZI AGENDA.
MPAKA KUFIKA 2030, TUTAKUWA NA SHERIA ZA KUTAMBUA HAKI ZA HAWA WATU.
KWA KUFANYA HIVYO YULE MWANAMKE ATAWEZA KUTAWALA KWA MIAKA 10 IJAYO.

KWA SASA SISI MARIJALI TUNA KAZI MOJA TU!
TWANGA KOTEKOTE!
 
Hizi nchi maskini zina hali ngumu sana ya kiuchumi kwa sasa ambako kumechagizwa na vita za kimataifa na mabadiliko ya tabia nchi yanayoathiri uzalishaji wa mazao ya chakula kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba zinajikuta zimeingia kwenye kumi na nane za mabeberu ambao wana kiu ya ku-drive agenda yao ya LGBT duniani. Kwa hiyo hizi nchi maskini zipo kwenye option mbili, ama zikubali matakwa ya beberu au jamii zao ziteketee kutokana na kudumaa kwa hali ya kijamii na uchumi (economic and social collapse) ambako kunaweza kupelekea machafuko. Haya mambo yako engineered, sema tu hayako wazi kwa wengi wetu.​
 
Uthibitisho wa haya uliyoyaandika hapa uko wapi??
Wakuu salam,

Hoja za Ushoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja ni jambo sensitive sana hasa kwenye jamii zetu za Africa.

Tusichoelewa ni kwamba watea wetu wana nguvu sana na ni moja ya ajenda kubwa sana kwenye mikutano ya wakubwa huko duniani.

Jambo hili la ushoga sio jipya hapa duniani ni la zamani lakini stage iliyopo ni legalization and inclusion of LGBTQS kwenye jamii zetu bila kuficha ikiwemo promotion.

Jicho la tatu ni kwamba nawapa tu mipango na nguvu za hawa watu na nyie mjipime.

1. Mashirika(NGO) kumi yasio ya kiserikali uanayo advocate choice kwa mwaka jana pekee yalipokea funding si chini ya 300B, moja ya element ilikuwa ku advocate issue za " ushoga"

2. Sitting board of Directors wa NGOs hizo ni wake wa viongozi wakubwa wastaafu nchini.

3. Nchi zote tunazopokea funding kutoka kwao wameshahalalisha ndoa za jinsia moja.

Nini kinafuata?
1. Funding zote za elimu lazima ziwe na element ya inclusion of LGBTQS rights.

2. Reviews ya National Examinations nchi nzima itaanza na ili upate funding lazima hiyo element iwe imejumuishwa.

3. Funding za mirad ya Afya na bima ya afya lazima zitambue without exclusion watu wa LGBTQs bila ubaguzi.

4. Kufikia Q3 kuna funding inakuja kwa ajili ya Ku support advancing LGBTQs and development, na ni pesa mingi.

5. Support and Value clarification to Religious leaders.. hii ni pesa inaenda kwa Watumish wenye ushawishi, kupata uelewa na kusaidia ku influence LGBTQS rights.

6. Support for endorsement kwenye siasa, na hapa itakuja funding ya kutosha kwa social media influenciers kwa ajili hiyo.

Wafadhili wakubwa wanajulikana, ni our development partners...

Labda tunyamaze mazima au tuangalie tu mambo yanavyoenda, tulinde watoto

Sababu za yote haya ni pamoja na kusaidia sana kwenye population controls na experts wa Social marketing wanasema hata Reproductive pills iliyoandaliwa kwa ajili ya wanaume watu weusi hawatakula, itakuwa na ugum sana kuingiza sokoni kwa sabab ya cultural diffrence, still advocating LGBTQS is the choice to go.

Watafiq.

View attachment 2534085
 
Kupiga marufuku Ushoga, huhitajiki kua Nchi Tajiri.

Inahitajika mambo makubwa mawili

1-Kiungozi mwenye uthubutu na ASIWE MWANAMKE ( unajua mwanamke tayari kiasili kaumbwa kuliwa, na kwakua Shoga naye analiwa, kwahiyo mwanamke hawez kua na nuguvu sana ).

2-Mshikamano wa Kitaifa.

Bahati mbaya sana, haya haya madhehebu mfano Roman Catholic, wao wanafirana mpaka Viongozi wao wanahalalisha !!

Kwahiyo hii ni vita kubwa na ngumu kushinda hata vita ya dawa zakulevya.
 
mzee still kwa nchi zetu ni changamoto si unakumbuka makonda alipopiga marufuku na akapigwa ban kwenda nje ..Basi ile kupigwa ban kisa cha kupinga ushoga pia Kuna chama fulani kiliweka kama ni hoja ya kumsema makonda kwamba ananyima haki za watu ndo maana ikawa hivyo.

Kwa inchi zetu labda wakae kama waafrica then wajipange kupambana ila si unaona Kenya tayar kashaingia mkenge ,yote hayo ili azidi kuneemeka na yupo juu na kukuzwa kwa sababu ya hao jamaa
 
Watekaji wanapopinga ushoga😅😅
 
WANAO AMUA UELEKEO WA DUNIA, TAYARI WALIKWISHA AMUA HAYA MIAKA 100 ILIYOPITA.
HAPA NYUMBANI, TAYARI WAMEPENYEZA WATU WAO KULE ZINAKO TUNGWA SHERIA.
WAKALA WAO JUZI JUZI KAPEWA UDAKTARI WA HESHIMA.
KWA KUWA KIONGOZI WA KUNDI KUBWA LA MUZIKI LENYE KUHAMASISHA USHOGA NA MASHOGA KWENYE KILA MAJUKWAA YAO.
MIAKA YA 1990 WALILETA HOJA ZA USAWA WA WATUNGA SHERIA KWENYE LILE JUMBA, KWAMBA UWINGI WA WANAWAKE KULE NDIO URAHISI WA KUPITISHA HIZI AGENDA.
MPAKA KUFIKA 2030, TUTAKUWA NA SHERIA ZA KUTAMBUA HAKI ZA HAWA WATU.
KWA KUFANYA HIVYO YULE MWANAMKE ATAWEZA KUTAWALA KWA MIAKA 10 IJAYO.

KWA SASA SISI MARIJALI TUNA KAZI MOJA TU!
TWANGA KOTEKOTE!
Wewe ni mwanaume kamili au na wewe punga? Maana kule juu umeweka emoj ya 🥰!
 
Kabisa mkuu
Wengine wanapinga huku wana interact na wanufaika wa upinde, unakosa kuelewa anaposimamia
Acha uoga mzee.. haya mambo ni vizur yakazungumzwa.
 
Ushoga hauepukiki,sikuhizi wanajitangaza hadharani....

Halafu nchi dhaifu kama TZ haina nguvu ya kuzuia ushoga...

ushoga unatuangamiza,siku hizi kama usipoliwa tacle basi utamla mwanaume mwenzio...

Na mimi nasema hivi
tukazane kuwala hawa mashoga, maana wanawake ni wengi,ukichanganya na hawa gey wanakua x2...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaa
 
Unaposema "mtesi wenu"unamaanisha wewe upo kundi gani?

Hizo mbinu mbona zinajulikana wala sio kwamba ni mpya, tutawabana mbavu na hawatapenya Kiroho na Kimwili, Tanzania sio kama wengine.

Kama kuna mtu anaona Ushoga ni mzuri achukue begi lake aanze kwenda kuwafuata hukohuko, Kama ni nchi jirani au atapitiliza ni uamuzi wake.

Hatutakubali kuacha watoto wetu waangukie kwenye tamaduni za Washenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi kelele ni za kwa keyboard tyuuh.

Barua aliyo ambatanisha OP umeisoma na kui elewa??

Poleeeeee sanaaa
 
Hatutanyamaza ... Aje POPE wa RC aje Biden , Aje Joseph Borrel , Aje nani ..

Hatunyamazi
 
Serikali ombaomba ilisemaga 2018 kuzuia ushoga sio msimamo wake lakini haikusema msimamo wake ni nini?

Hapo hapo ilisaini mkataba wa haki za binadaamu unatambua ushoga na kuheshimu ushoga Sasa hayo ndo madharau ya kutojiweza alafu unapenda vitu vizuri mwsho wa siku unakosa maamuzi binafsi

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Ongezaaaa sautiiiiiii!!!

,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwa legelege unategemea kuendesha mambo kwa misaada ya Wazungu lazima ujae nyavuni tu.... njia ya kujinasua na mitego ya Wazungu ni kuwa Taifa la watu wanaoamini kufanya kazi kwa bidii na kujitegemea...

Unataka vya bure, unataka uishi kwa kodi za watu wengine, unataka uishi kwa jasho la watu wengine halafu unataka kuikwepa ushoga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nachekaaaa km chiziiii.

Toeni manenooo, wapingaji wajue wanazika hapa hapa au wanasafirisha. Woiiiiiiiiih
 
Hizi nchi maskini zina hali ngumu sana ya kiuchumi kwa sasa ambako kumechagizwa na vita za kimataifa na mabadiliko ya tabia nchi yanayoathiri uzalishaji wa mazao ya chakula kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba zinajikuta zimeingia kwenye kumi na nane za mabeberu ambao wana kiu ya ku-drive agenda yao ya LGBT duniani. Kwa hiyo hizi nchi maskini zipo kwenye option mbili, ama zikubali matakwa ya beberu au jamii zao ziteketee kutokana na kudumaa kwa hali ya kijamii na uchumi (economic and social collapse) ambako kunaweza kupelekea machafuko. Haya mambo yako engineered, sema tu hayako wazi kwa wengi wetu.​
Wataamua kufa njaa na uchumi kushuka, au wakubali watu wapandane wao kwa wao.

Patamuuuuuu hapoooooo. Option ni "yes" or "no"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nachekaaaa km chiziiii.

Toeni manenooo, wapingaji wajue wanazika hapa hapa au wanasafirisha. Woiiiiiiiiih
Oya nasikia kuna connection afande anafukuliwa mtaro, huyo afande shoga inatrend now usiniambie huna,,,
 
mzee still kwa nchi zetu ni changamoto si unakumbuka makonda alipopiga marufuku na akapigwa ban kwenda nje ..Basi ile kupigwa ban kisa cha kupinga ushoga pia Kuna chama fulani kiliweka kama ni hoja ya kumsema makonda kwamba ananyima haki za watu ndo maana ikawa hivyo.

Kwa inchi zetu labda wakae kama waafrica then wajipange kupambana ila si unaona Kenya tayar kashaingia mkenge ,yote hayo ili azidi kuneemeka na yupo juu na kukuzwa kwa sababu ya hao jamaa
Kwani mbna barua ya Serikali kuhusu suala la makonda na saka mashoga, OP ameambatanisha. Kila kitu kiko waziii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom