Suala la ushoga msinyamaze, ila mtesi wenu ana nguvu kuliko mnavyofikiri, mipango ipo hivi...

Mm kwa mawazo yangu naona hii kitu tunavozid ijadili ndy inavyozid kuwa kubwa na kutrend Bora kuacha kuizungumzia na tugeukie kuwalinda watoto wetu kimaadili na kivyovyote ili wasiweze kuingia kwenye huu ufurauni
Naamini Kila mmja wetu akifanya hii njia kuzuia kwanzia huku chini kuwalinda na kuwalea kwenye maadili yenye misingi watoto wetu na tuwe nao mda mwng maana unakuta mzaz anaonana na mtoto asubuh na usiku tu hajui mchana wote mtot alku kwny hal gan
Tutalishinda hili au litapungua kwa kiasi kikubwa.
Na kingine wanawake punguzeni kuchuna na kubana tundu mpe mwenza wako si amekupenda kwajili ya hiko kitu bhana mpatie bila kujali nn wala nn .
 
WANAO AMUA UELEKEO WA DUNIA, TAYARI WALIKWISHA AMUA HAYA MIAKA 100 ILIYOPITA.
HAPA NYUMBANI, TAYARI WAMEPENYEZA WATU WAO KULE ZINAKO TUNGWA SHERIA.
WAKALA WAO JUZI JUZI KAPEWA UDAKTARI WA HESHIMA.
KWA KUWA KIONGOZI WA KUNDI KUBWA LA MUZIKI LENYE KUHAMASISHA USHOGA NA MASHOGA KWENYE KILA MAJUKWAA YAO.
MIAKA YA 1990 WALILETA HOJA ZA USAWA WA WATUNGA SHERIA KWENYE LILE JUMBA, KWAMBA UWINGI WA WANAWAKE KULE NDIO URAHISI WA KUPITISHA HIZI AGENDA.
MPAKA KUFIKA 2030, TUTAKUWA NA SHERIA ZA KUTAMBUA HAKI ZA HAWA WATU.
KWA KUFANYA HIVYO YULE MWANAMKE ATAWEZA KUTAWALA KWA MIAKA 10 IJAYO.

KWA SASA SISI MARIJALI TUNA KAZI MOJA TU!
TWANGA KOTEKOTE!
 
Hizi nchi maskini zina hali ngumu sana ya kiuchumi kwa sasa ambako kumechagizwa na vita za kimataifa na mabadiliko ya tabia nchi yanayoathiri uzalishaji wa mazao ya chakula kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba zinajikuta zimeingia kwenye kumi na nane za mabeberu ambao wana kiu ya ku-drive agenda yao ya LGBT duniani. Kwa hiyo hizi nchi maskini zipo kwenye option mbili, ama zikubali matakwa ya beberu au jamii zao ziteketee kutokana na kudumaa kwa hali ya kijamii na uchumi (economic and social collapse) ambako kunaweza kupelekea machafuko. Haya mambo yako engineered, sema tu hayako wazi kwa wengi wetu.​
 
Uthibitisho wa haya uliyoyaandika hapa uko wapi??
 
Kupiga marufuku Ushoga, huhitajiki kua Nchi Tajiri.

Inahitajika mambo makubwa mawili

1-Kiungozi mwenye uthubutu na ASIWE MWANAMKE ( unajua mwanamke tayari kiasili kaumbwa kuliwa, na kwakua Shoga naye analiwa, kwahiyo mwanamke hawez kua na nuguvu sana ).


2-Mshikamano wa Kitaifa.


Bahati mbaya sana, haya haya madhehebu mfano Roman Catholic, wao wanafirana mpaka Viongozi wao wanahalalisha !!

Kwahiyo hii ni vita kubwa na ngumu kushinda hata vita ya dawa zakulevya.
 
mzee still kwa nchi zetu ni changamoto si unakumbuka makonda alipopiga marufuku na akapigwa ban kwenda nje ..Basi ile kupigwa ban kisa cha kupinga ushoga pia Kuna chama fulani kiliweka kama ni hoja ya kumsema makonda kwamba ananyima haki za watu ndo maana ikawa hivyo.

Kwa inchi zetu labda wakae kama waafrica then wajipange kupambana ila si unaona Kenya tayar kashaingia mkenge ,yote hayo ili azidi kuneemeka na yupo juu na kukuzwa kwa sababu ya hao jamaa
 
Watekaji wanapopinga ushoga😅😅
 
Wewe ni mwanaume kamili au na wewe punga? Maana kule juu umeweka emoj ya 🥰!
 
Kabisa mkuu
Wengine wanapinga huku wana interact na wanufaika wa upinde, unakosa kuelewa anaposimamia
Acha uoga mzee.. haya mambo ni vizur yakazungumzwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi kelele ni za kwa keyboard tyuuh.

Barua aliyo ambatanisha OP umeisoma na kui elewa??

Poleeeeee sanaaa
 
Hatutanyamaza ... Aje POPE wa RC aje Biden , Aje Joseph Borrel , Aje nani ..

Hatunyamazi
 
Ongezaaaa sautiiiiiii!!!

,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nachekaaaa km chiziiii.

Toeni manenooo, wapingaji wajue wanazika hapa hapa au wanasafirisha. Woiiiiiiiiih
 
Wataamua kufa njaa na uchumi kushuka, au wakubali watu wapandane wao kwa wao.

Patamuuuuuu hapoooooo. Option ni "yes" or "no"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nachekaaaa km chiziiii.

Toeni manenooo, wapingaji wajue wanazika hapa hapa au wanasafirisha. Woiiiiiiiiih
Oya nasikia kuna connection afande anafukuliwa mtaro, huyo afande shoga inatrend now usiniambie huna,,,
 
Kwani mbna barua ya Serikali kuhusu suala la makonda na saka mashoga, OP ameambatanisha. Kila kitu kiko waziii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…